kichekoh
JF-Expert Member
- Sep 19, 2015
- 1,376
- 1,479
Duh inamana akina siro walimnyima?Mkuu hapo inategemea na scene yenyewe inavyohitaji..
Chukulia mfano ile scene kwenye wimbo wa bado wa harmonize ft. diamond, South Africa waliomba kibali polisi wakakubaliwa na wakawaomba watu kwa kuyazuia magari kwa muda wa nusu saa ili wao washoot video (watu na mishe zao walikubali kusubiri nusu saa ili video ifanyike) .. Hiki kitu kinawezekana kwa wenzetu ila sio sisi..
Hata kama daraja lipo na linavutia vizuri tu, JE WATU WANAWEZA KUKAA NUSU SAA KUKUPISHA UFANYE VIDEO SHOOTING??? hahahahaha wabongo hata dakika tano hupati, na penyewe wanalipia kupita, hakuna atayekubali kusumbuliwa..
Diamond kushoot wimbo wa "utanipenda" ilishindikana kupata zile tapes za polisi (za kuzungushia kwenye nyumba pale alipokuta inapigwa mnada) ikawabidi wazitumie za South Africa alizokujanazo Godfather, sembuse Daraja???
Hakuna linaloshindikana.....kama watu tunasubiri kwenye foleni misafara wa Waheshimiwa ipite, kwa dakika arobaini au zaidi, itashindikana vipi kufanya hivyo.Mkuu hapo inategemea na scene yenyewe inavyohitaji..