Imenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador. Hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni Diamond tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake.
Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi hata huyo Diamond, kwa mfano King Kiba ndio msanii mwenye fan base kubwa hapa bongo. Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....