juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Hii redio ndio maaana waligombana na wasanii fulani hivi kuna siku walifanya interview na msanii wa miziki ya kufokafoka a.k.a Hip Hop/Rap anaitwa Mansuli yaani wamefanya dakika 5 basi ikaishia hapo,ila wakiwa na wasanii kama Joh Makini, Diamond au Weusi yaani wanakaa lisaa lizima wanahojiana tu,hata juzi kati Jay Moe walikaa nae wanahojiana hadi kipindi kinaisha,sasa kwa nini wasanii wengine wanadharaulika jamani na hii redio?