aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,650
- 3,662
Unanishangaza wewe ni meneja wa wanamuziki wengi tu kama Madee, Tundaman, Shaa na Dogo janja.
Inakuwaje Diamond peke yake ndio unampromote sana kuanzia ubora wa video show kumtafutia nje mpaka ubalozi wa makampuni mbalimbali inamaana hao,wengne hawana mvuto ama vipi?
Hebu rekebisha mnafanya soko liwe la mtu mmoja