Jerry Muro, Haji Manara wamewahi kushtakiwa kwa utapeli

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,017
49,164
Hawa wasemaji wawili wa Simba na Yanga wana sifa inayofanana,hakuna asiyejua sakata la Jerry Muro aliwai kushitakiwa kwa makosa ya kuombaa rushwa mwaka 2010,na mwaka huohuo 2010 Haji Manara akashtakiwa kwa makosa ya utapeli enzi hizo akiwa mwenezi wa CCM mkoa wa DSM
Hawa watu ni wakuangalia sana hawa kwani kuwa mtaani haimaanishi hawakufanya hayo makosa
Hao ni watu wakuangalia sana
 
Weka wazi mzee tuwaangalie katika kona ipi? Tayari Jerry ni msemaji na mchekeshaji mkuu wa Yanga. Haji ni msemaji na mlalamikaji mkuu wa Simba.

Hawa hawahusiki na kushika pesa zaidi ya kubwabwaja kwenye vyombo vya habari.

Mkuu tuweke wazi usitufumbe
 
Hahahahaa wewe jamaa bwana?Eti Manara ni msemaji na mlalamikaji mkuu wa Simba.
Natamani nisikie kauli zao wote baada ya mechi ya jana Toto 1-Simba 0.
 
Huyo mlalamikaji wa SIMBA si nasikia kapata ajali vipi ameshapona aendeleze malalamiko yake ............. kuna uwezekano mwakani wakaendelea kuwa washangiliaji wa timu za nje zikicheza na Yanga.
 
Kumbe "kushtakiwa" tu, Mimi nilidhani walishakutwa na hatia na kufungwa...
 
Back
Top Bottom