Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi niko kwenye njozi au ninachokiona ndicho kweli kinachotokea? Gotdamnit! Ntampata wapi huyu?
5 Reactions
55 Replies
8K Views
Kuna ubuyu mpya mjini… Na tena unaonesha umepata wateja wengi kwa muda mfupi Mashabiki wa Zari the Bosslady wanamshambulia Lynn, mrembo aliyetumika kwenye video ya ‘Kwetu’ ya msanii wa WCB...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100...
2 Reactions
178 Replies
40K Views
Malawi na Nigeria zimekutana kwenye collabo moja ya nguvu. Supastaa wa rap kutoka Malawi, Tay Grin ameachia single mpya aliyoipa jina, Chipapapa na kumshirikisha nguli wa muziki wa Nigeria, 2 Face...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SHABIKI mmoja nchini Marekani, Justin Rhett, ameamua kumshtaki nyota wa muziki wa Rap, Kanye West pamoja na huduma ya muziki ya Tidal kuhusu kutolewa kwa albamu mpya ya mwanamuziki huyo, The life...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Hivi msanii kama tunda kudanganya umma kama ulikua kwenye gari iliyopata ajali unamaana gani? ona sasa umeumbuka kijana aliyekua na marehemu kasema yeye ndo alikua ndani ya gari na wewe ulikua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msanii mkongwe wa muziki, Dudu Baya, amesema hawezi muomba msamaha Chidi Benz kutokana na kauli yake ‘acha afe’ ambayo aliitoa baada ya rapa huyo kuzidiwa na matumizi ya Madawa ya kulevya na...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
12:25 PM PT -- The Sheriff's department says Prince was found in an elevator at Paisley Park. They performed CPR, but were unable to revive him. He was pronounced dead on the scene at 10:07 AM...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1.Uhuru 2.Shizzy (legendary beats) 3.Selebobo 4.Nahreel (The industry) 5.tudy Thomas 6.Sappy 7.Sheddy clever
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mzee Yussuf ni miongoni mwa wasanii ambao hawaamini kama Diamond na Ali Kiba wana beef kutokana na wawili hao kutokutana pamoja na kuonyesha tofauti zao. Akizungumza Jumamosi hii, Mzee Yussuf...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Najiulizaga sana hivi ni kwanini unga cocaine hutumiwa na wasanii wengi sana majuu lakini bado wapo fiti labda kwa zamani ndo kina whitney houston na bobby brown ndo waliharibikiwa, ila ukija...
0 Reactions
85 Replies
11K Views
Msanii wa filamu Wastara Juma amefunguka na kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma ambayo imeduku kwa kakribani miezi 3. Akizungumza na Bongo5 hivi...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
Msanii wa filamu kutoka nchini Marekani, Eddie Murphy na mchumba wake, ambaye ni mwanamitindo Paige Butcher, wanatarajia kupata mtoto hivi karibuni atakayefikisha idadi ya watoto tisa wa msanii...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Chris Brown amesema alitaka kujiua baada ya kumshambulia aliyekuwa mpenziwe Rihanna kabla ya tuzo za Grammy mwaka 2009. Katika kipande kifupi cha makala yake ya ‘Karibu katika maisha...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Inasmekana alimbaka mdada wakibongo aishie sweden anaitwa Deborah ukiingia insta page ya dougiemasta20 utaona hadio ushahidi wa police report na inasemekana sweden embassy ya tz washataarifiwa...
1 Reactions
52 Replies
15K Views
Nimeona kwenye twitter page ya MTV BASE SOUTH anategemea kushoot video mpya na Psquare pia kuna wimbo Ne-yo
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimeona picha ya Wema katika blog ya Michuzi na movie clip katika blog ya dj fetty kwa kweli nimesikitishwa sana na nilichokiona.....!! maadili yetu watanzania hayaturuhusu kukaa ****** wazi...
1 Reactions
54 Replies
34K Views
1. Mb dog 2. Z Anto 3. Sumalee 4. Spark 5. Keisha 6. Pingu na Deso 7. Kassim Mganga
5 Reactions
43 Replies
10K Views
Hivi huyu dada aliwaza nini kuitaja Kenya katika nyimbo yake ya Na Gode aliyo iimba kwa kiswahili kwa hiyo aliona akiitaja Tanzania Hii nyimbo haita hit sana au? Watu wengine wanaboa sana...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Japo naishi Mwanza lakini na - declare interest kwamba mimi ni mwanaume wa Dar kwa sababu ndo wazazi wangu wanapoishi na ndiyo nilipokulia. Huyu mtangazaji wa Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Back
Top Bottom