Diamond na Collabo za kimataifa

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,426
1,431
Screenshot_2016-04-20-14-13-40.png
Nimeona kwenye twitter page ya MTV BASE SOUTH anategemea kushoot video mpya na Psquare pia kuna wimbo Ne-yo
 
Yah, ni kweli hivi tunavyoongea yupo S.A kwa ajili ya mambo mazuri.
 
Back
Top Bottom