Finally the VIEWS is out. What caught my eye the most, is the album cover. Seems like Drake took J Cole's Forest hills drive concept. Drake and Cole are known not to be friends, and they've been...
Jamani hivi kumbe ukiingia bifu na Clouds unakuwa na bifu na wafanyakazi pia? Millard Ayo karibia kila video mpya ya wimbo huwa ana upload kwenye website yake na kwenye Ayo TV lakini hii video ya...
Sabakher wadau;
Wale wapenz wa bongoflava, FNL na watazamaji EATV na wasikilizaji wa EA radio!
Nadhan mnakifahamu hiki kichwa kilivyokuwa kinapiga ngoma kali pale ndani! Dah kiukweli ndo alikuwa...
Mr Blue analalamika kuwa Sugu ameupora wimbo wake ‘Freedom’ aliokuwa amemshirikisha kwa kutoa verse zake na kuufanyia video iliyotoka jana.
Lakini katika kila malalamiko, ni vyema kusikiliza...
Jamani wadau nataka kufahamu hivi ni kweli dogo diamond anashuka umaarufu na kimziki i heard some people say so na wamenikera coz namkubali sna dgo na namuombea sana asonge mbele.ila hawa wadau...
Kama tunavyojua ya kwamba Lady Jay dee komandoo hana mahusiano na redii clouds fm,sasa hali hiyo imefanya huyu dada hata nyimbo zake kutochezwa katika kituo hicho.
Kumbuka clouds washakuwa katika...
Habari zenu wakuu.
Tasnia ya muziki inakuwa TZ na namna ya wasanii wetu kuingiza kipato inapanuka zaidi, kwani kwa sasa makampuni yameweza kuwaamini wasanii kuwa wanaweza wakawa ni njia mojawapo...
Habari wanajamvi, mimi ni mdau mpya katika uwanja huu, huwa ninafuatilia yanayoendelea hapa kila ninapopata nafasi (mara nyingi hua ninasafiri ndani na nje ya nchi) nimejifunza mengi hapa.
Nina...
Sakata la wimbo wake kuibwa na Mbunge wa Bunge la Muungano ni sehemu ndogo tu ya madhila yaliyowahi kumkuta msanii huyu mkongwe kwenye Bongo Fleva.
Miezi kadhaa nyuma aliwahi kuporwa...
Mnajua kuwa inasemekana kuwa Tunda Man hakuwepo kwenye ile ajali iliyotokea hivi karibuni?
Kama alikuwepo inawezekanaje apone ikiwa hajafunga mkanda na waliofunga wameumia na kulazwa?
Iweje...
Wakuu huyu jamaa nimekuwa nikimsikia tu juu, mara picha za warembo, anaimba anaigiza ila ningependa kumjua kiundani kwa wanaomjua, ni nani hasa Manaiki Sanga?
Mida hii naona breaking news kwenye ma news networks....RIP Prince, age 57
Update!! kafa sababu ya drug overdose, ile flu ni changa la macho
=====================
Prince died earlier today...
Tangu utokee ugomvi wa kundi maarufu africa psquare kumesababisha huzuni miongoni wa mshabiki wao. Kila mmoja peter na paul wamekuwa wakifanya project binafsi. Hata baada ya kupatana hakuna...
Wengi wenu mmekuwa mkimsikia mtangazaji huyu mkongwe wa DW na mkijiuliza ni mwanaume au mwanamke.
Ukweli ni kuwa Oumilkheir ni mwana mama na picha yake ndio hiyo hapo juu.Ni raia wa Comoro na...
Babu yake Wastara amefunguka na kueleza kilichosababisha kuvunjia kwa ndoa ya Wastara na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma.
Akizungumza na Times Fm, Babu huyo aliweka bayana kuwa...
Baada ya kuwa na sintofahamu tangu wasikike kwenye kipindi cha Power Breakfast tarehe 1 mwezi huu, habari za ndani kabisa toka Mawingu Fm zinadai Mtangazaji mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri na...
Huyu ni msanii mwenye kibao kikali kinachobamba cha Sweety Sweety, Chege Chigunda au mtoto wa mama Said, hapo pichani anaringishia misuli yake ya mikono kama unavyoona
Well done Diamond umetuwakilisha vizuri saaana.
Kuna rafiki zangu wa South Africa nimewasiliana nao leo wamemsifia sana Diamond.
Kweli nimefarijika: Diamond you make us very proud. Umeipaisha...
Mrembo anayefanya poa kwenye video za wasanii wa Bongo kama video model Gigy Money, amempa za uso msanii Ney wa Mitego na kumuita mpumbavu asiyejitambua ni nani, baada ya kumtapeli pesa yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.