Producer yupi anakukosha Afrika?

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
1.Uhuru
2.Shizzy (legendary beats)
3.Selebobo
4.Nahreel (The industry)
5.tudy Thomas
6.Sappy
7.Sheddy clever
 
Uhuru wametengeneza beat ya wimbo wa Mafikizolo ft Diamond Plutnumz.


Hilo beat ni kweikwi.
 
1.Uhuru
2.Shizzy (legendary beats)
3.Selebobo
4.Nahreel (The industry)
5.tudy Thomas
6.Sappy
7.Sheddy clever
Shizzy n producer n legendary beats n studio n wasanii ya watu wawili Okiemute na Uzezi ila kwa pamoja ndo wanajiita legendary beats
Ongezeza kwny list
6. Masterkraft
7. Samkfer
8. Kiddominant
9. Don jazzy
10. Oskido
11. Young john (the wicked producer)
12. Dj Coublon
13. Pheelz
 
uhuru uhuru uhuru.....sio binadam wa kawaida huyu bwana
Ni kundi la watu wanne DJ Maphorisa, Mapiano, DJ Clap na Xeli ukitaka kuona utamu wao wambie wakungongee beat then wape hata ka chrous au hata ka intro kidogo wakufanyie kazi n balaa
 
it's a group bro, wako zaidi ya wanne. hatari sana wale watu.kuna ngoma 1 inaitwa the (runtown) banger wameshirikiriana kunyonga hiyo beat na kuimba,ni konyo
Mkuu runtown n msanii ngoma inaitwa banger it's runtown ft uhuru = banger wamenyonga beat na kuimba lile dude lilipigwa lazima uinuke ukikaa utachezesha hata miguu na kichwa
 
1.Uhuru
2.Shizzy (legendary beats)
3.Selebobo
4.Nahreel (The industry)
5.tudy Thomas
6.Sappy
7.Sheddy clever
Mkuu shizzy na lengendary beatz ni watu wawili tofauti.lengendary beatz ni production duo ambao wapo kwenye label ya wizkid
 
Shizzy n producer n legendary beats n studio n wasanii ya watu wawili Okiemute na Uzezi ila kwa pamoja ndo wanajiita legendary beats
Ongezeza kwny list
6. Masterkraft
7. Samkfer
8. Kiddominant
9. Don jazzy
10. Oskido
11. Young john (the wicked producer)
12. Dj Coublon
13. Pheelz
Naona Tekno na Paul Okoye wanasahaulika kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom