Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Najiulizaga sana hivi ni kwanini unga cocaine hutumiwa na wasanii wengi sana majuu lakini bado wapo fiti labda kwa zamani ndo kina whitney houston na bobby brown ndo waliharibikiwa, ila ukija bongo wasanii wakigusa tu ndo kwaheri mfano kina chidi, rayc, tid, mfaume, daz baba, qchief, na wengine tushawapoteza kama kina ngwea na Langa
Mwenye uelewa tupe darasa
Mwenye uelewa tupe darasa