DJ Rommy Jones kwenye kashfa ya ubakaji Sweden

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
956
Inasmekana alimbaka mdada wakibongo aishie sweden anaitwa Deborah
ukiingia insta page ya dougiemasta20 utaona hadio ushahidi wa police report na inasemekana sweden embassy ya tz washataarifiwa
Wadaku wanadai Rommy Jones hakumaliza ziara ya chibu chibude huko ulaya kwani alikimbia soo na chat sms zimewekwa hadharani akiomba msamaha
wambeya wanadai meneja wa diamond aitwaye salaam alikuwa radhi kutoa euro 10,000 ili kuua soo ila bidada akakataa
====================
====================
rommy-1.jpg

Hatimaye ukweli juu ya sakata la kaka wa staa wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Rommy Jones kufanya tukio la kubaka huko Sweeden umejulikana

Awali kulienea tetesi mbalimbali kuwa Rommy ambaye ni DJ rasmi wa Diamond na mmoja wa wafanyakazi wa Wasafi Classic Baby (WCB) kuwa amebaka kisha kukimbia nchini humo bila kuelezwa undani wa tukio hilo.

Meneja Matukio ya Kimataifa wa Diamond, Sallam Sharaff akisimulia kilichotokea alisema kuwa maneno yaliyozagaa mtaani na kwenye mitandao ya kijamii yalielemea kwenye ushabiki na hata yanavyoelezewa hakuna anayetambua undani wa tukio hilo lilivyojiri.

“Ishu hiyo ni kweli ilitokea lakini ninachoweza kusema ni kwamba ulikuwa ni mchezo mchafu ambao ulilenga kuichafulia jina WCB."

“Madai ya Rommy Jones kubaka siyo ya kweli kwa sababu mimi ninachokijua ni kwamba, huyo mrembo aitwaye Debora alikuwa akiwasiliana na Rommy Jones siku kibao yaani ni zaidi ya miaka miwili huko nyuma."

“Siku tulipofika Sweden tu, Debora alijua kuwa Rommy Jones yupo ‘so’ alimnunulia zawadi ya simu na kumletea kwenye apartments (nyumba za kuishi) tulizokuwa tumefikia na jioni yake akamtumia gari, likaja kumchukua na kumpeleka kwake, lilala huko na kurudi asubuhi yake maana tulikuwa tunaenda kufanya shoo kwenye mji mwingine."

“Ujue ishu hii mimi baadaye nilikuja kugundua kwamba kuna namna ambayo Debora alikuwa akitengeneza mazingira ya kutafuta pesa kwani sheria ya Sweden siku zote ukilala na mwanamke bila ridhaa yake akishitaki unatuhumiwa kuwa umebaka na yeye analipwa kama dola elfu kumi na mbili (zaidi ya Sh. milioni 24 za Kitanzania)".

“Hata kama ni mkeo, ukifanya naye tendo la ndoa bila yeye kuridhia na akashitaki, basi wewe utakuwa umebaka na sheria inakufunga huku yeye akilipwa kiasi hicho cha fedha".

“Kilichotokea kwa Rommy Jones ni dhahiri kabisa kuwa Debora alitaka kujipatia pesa kwa njia hiyo kwani baada ya kuanza kung’aka kuwa amebakwa, mimi nilimtafuta na kumuomba msamaha maana Rommy Jones hakujua kama sheria ya huko iko hivyo na isitoshe wote walikuwa wamelewa.
“Pamoja na msamaha, Debora aliendelea kuomba afidiwe dola elfu kumi na mbili, mimi nikamwambia nimpatie dola elfu sita lakini aligoma na kutaka hiyo hivyo tukashindwa kuafikiana."

“Baada ya kuona tumeshindwa akaanza kututishia kuwa Diamond ni kaka yake hivyo anahusika na msala huo.
“Kweli polisi walifika na kumkamata Diamond, tukawaambia kuwa Rommy Jones si DJ wetu na kwamba tulimkodi tu na tayari ameshaondoka zake kwao.

“Baada ya kuona hivyo hawakuwa na jinsi, wakamwachia Diamond na sisi tukaendelea na shoo zetu.
“Hayo yote yalitokea tukiwa tumebakiza shoo mbili tumalize ziara hiyo hivyo Rommy Jones akawa ‘wanted’ ndiyo maana aliondoka mapema kurejea Tanzania,” alimaliza kusimulia Sallam.

Source: Gazeti letu Pendwa
 
Sidhani kama ni kweli maana wanasema huyo dada kila msanii anayeenda huko ndio tabia yake kusema kabakwa huyo dada ndio anawanunulia vinywaji na kila kitu,
 
Inasmekana alimbaka mdada wakibongo aishie sweden anaitwa Deborah
ukiingia insta page ya dougiemasta20 utaona hadio ushahidi wa police report na inasemekana swden embassy ya tz washataarifiwa
Wadaku wanadai rommy jones hakumaliza ziara ya chibu chibude huko ulaya kwani alikimbia soo na chat sms zimewekwa hadharani akiomba msamaha
wambeya wanadai meneja wa diamond aitwaye salaam alikuwa radhi kuto aeuro 10,000 ili kuua soo ila bidada akakataa
Yani source yako ni Dougiemasta?? Seriously?? Give me a break!
 
Inasmekana alimbaka mdada wakibongo aishie sweden anaitwa Deborah
ukiingia insta page ya dougiemasta20 utaona hadio ushahidi wa police report na inasemekana swden embassy ya tz washataarifiwa
Wadaku wanadai rommy jones hakumaliza ziara ya chibu chibude huko ulaya kwani alikimbia soo na chat sms zimewekwa hadharani akiomba msamaha
wambeya wanadai meneja wa diamond aitwaye salaam alikuwa radhi kuto aeuro 10,000 ili kuua soo ila bidada akakataa
tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom