Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo
Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100 za kitanzania.
Wasanii wengine wanapwa kuekeza kwenye ardhi ili kesho yake wasikose pakujificha.
Hongera sana kijana diamond una umri mdogo lakini unajitambua
1461084905040.jpg
1461084912793.jpg
1461084917952.jpg
1461084924497.jpg
1461084933084.jpg
1461085086529.jpg
 
afungue macho kwenye fursa zingine za kumwingizia kipato kama biashara, awekeze kwenye vitu ambavyo hata mjukuu atakuja kula na kumkumbuka babu yake.
Hata nyumba inaingiza Mshiko wa nguvu.... Shida ukishidwa kuiheshimu pesa inakuumbua cc nice mkenda
Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo
Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100 za kitanzania.
Wasanii wengine wanapwa kuekeza kwenye ardhi ili kesho yake wasikose pakujificha.
Hongera sana kijana diamond una umri mdogo lakini unajitambuaView attachment 340753View attachment 340754View attachment 340755View attachment 340756View attachment 340757View attachment 340761
 
Back
Top Bottom