Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 368
- 425
Japo naishi Mwanza lakini na - declare interest kwamba mimi ni mwanaume wa Dar kwa sababu ndo wazazi wangu wanapoishi na ndiyo nilipokulia.
Huyu mtangazaji wa Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL segment ya YOU HEARD anatudhalilisha sana wanaume wa Dar. Tabia yake ya kuleta habari za umbea tena umbea mwingine hata haustahili na hauna viwango vya kusemwa kwenye media, inatukera sana Wanaume wa Dar.
Kile ki - segment ilipaswa apewe mwanamke kabisa, maana mwanaume kufanya kipindi kile na kwa vitu vyake anavyoviongea vinamfanya kudharaulika na kudhalilika.
Soudy Brown badilika bhana, unatudhalilisha wanaume wa Dar.