ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,664
Hivi huyu dada aliwaza nini kuitaja Kenya katika nyimbo yake ya Na Gode aliyo iimba kwa kiswahili kwa hiyo aliona akiitaja Tanzania Hii nyimbo haita hit sana au? Watu wengine wanaboa sana
Samahani nimesahau hata kusalimia habari zenu wana JF
Mim nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu wimbo wa Yemi alade Na Gode! Idea yake ilikuwa nzuri kwamba aimbe kwa kiswahili ndo maana version ya huo wimbo aliutoa kwa kiswahili kabla ya kuufanyia remix kwa kumshirikisha producer selebobo! Lengo lake la kuimba kwa kiswahili ni kutaka kuzidi kutusua Afrika mashariki hasa Tanzania
Kinacho niuma mimi ni kwanini aitaje Kenya katika huo wimbo akati watanzania ndo wamemfanya ajue kiswahili na ndio walio muinfluence kuimba kwa kiswahili,mwanzoni Yemi Alade bongo alikuwa hajulikani alipo kuja kutoa 'John' ndo kidogo wabongo wakamjua akapata na show yake ya kwanza afrika mashariki nahisi ilikuwa ni kuperform pale uwanja wataifa Alifanya show yake kuonesha aliko tokea hadi alipo hiyo show akaweka kajipande kashow katika video yake ya huo wimbo wa Na Gode akionesha yupo uwanja wa Taifa ana perform
Baadae ndo alikutana na kina Diamond akafanya nae wimbo coc studio diamond akaimba kwa kiswahili Yemi alade akafahamika Tz,baadae akawa anakutana na Akina Vanessa
Akashawishika kuimba kwa kiswahili wimbo ambao Tanzania ndo unapendwa sana kuliko Nchi yoyote Afrika! Alipo ona watanzania tunaupenda huo wimbo akaamua kuutoa kwa kingereza ili Nigeria nako uwe unapendwa
Sasa Kenya haijamsaidia chochote katika maendeleo ya mziki wake hata hicho kiswahili kukijua kenya haijamsaidia sasa kwanini aitaje Kenya aanaacha kuitaja Tanzania au hata Dar es salaam ambako alifanya show yake ya kwanza
Means huyu mkimama katudharau sana watanzania na katuona sisi wakuja sana.....Huyu aliwahi andika Tanzania ni second home leo anatuletea unafiki anaitaja kenya katika wimbo huo.......Bora hata English version ingekuwa ya kwanza kutoka na kaitaja kenya ningesema sawa kwasababu sisi wabongo kingereza hatujui! Sasa kaanza kwa kiswahili halafu anaitaja kenya ambayo haijampa mchango wowote hiyo ni Dharau kubwa kwetu Wabongo
Tangu nyimbo itoke nilikuwa namfikiria sana ila leo nimeamua kumwambia
Kama Yemi Alade upo hapa JF nakwambia tutakamatana ipo siku utaingia kwenye 18 zetu.....Endelea na wakenya wako