Picha: Team Zari wamshambulia mrembo huyu kisa Diamond

warumi

R I P
May 6, 2013
16,218
18,440
Kuna ubuyu mpya mjini… Na tena unaonesha umepata wateja wengi kwa muda mfupi

Mashabiki wa Zari the Bosslady wanamshambulia Lynn, mrembo aliyetumika kwenye video ya ‘Kwetu’ ya msanii wa WCB, Raymond kwasababu wamesikia tetesi kuwa amechepuka na Diamond Platnumz.

Tetesi hizi ni kubwa kiasi ambacho watu walio karibu na mastaa hao wamedai kuwa zimeitikisa ikulu ya Chibu. Wanadai kuwa Zari amekerwa na tetesi hizo na kwamba uhusiano wao umepata dosari.

Wiki hii tetesi hizo zimevuma zaidi kiasi ambacho mashabiki wa Zari wamekuwa wakimmiminia matusi Lynn kwenye akaunti yake ya Instagram.

Inafurahisha kwasababu Lynn haoneshi kutikiswa na matusi hayo huku pia akipewa support kubwa kutoka kwa mashabiki ambao hawampendi Zari. Of Course Team Wema yote inaonesha kuwa nyuma yake!

Cha kuvutia zaidi ni kuwa Lynn ni msichana mdogo na mrembo sana kiasi ambacho wasiompenda Zari wanasema anafaa zaidi kuwa kifaa cha Bin Mondi. Kwa wengi hizi bado ni tetesi tu lakini kama ukiangalia post za nyuma za Lynn, utagundua kuwa alikuwa shabiki mkubwa wa Daimond kwakuwa amekuwa akiweka picha zake [Diamond] mara kwa mara.
 

Attachments

  • 1461270366908.jpg
    1461270366908.jpg
    74.6 KB · Views: 157
Hako katoto hizo rumors yeye kenyewe ndo amezianzisha na anazisambaza.. dizaini anataka ucelebrity!! But naona team ya wanafurahia sana kichinichini hizi skendo zinazoendelea wana-draw attention ya watu, itawabeba kuzindua reality show yao Kwa kishindo
 
Halafu hako ka dada kenyewe yaani wala hata hakaoneshi kujali.
Ila kina mrs wenger duuuh wanakatusi hatarious. Wanafanya kukaza roho na kukaita eti kabaya hahaaaa aisee watu buana. Yaani kuna mchambaji mmoja niliona picha yake jana heheheee uwiiiiiii sura nzito kama uji wa choroko teh! teh! hana tofauti na malkia wa insta
 
Mamaa wa igweee Lala one bila shaka vidole vyake vilikuwa bize kukoment upande wa timu iliyo kuwa inamtetea huyo binti.si mnajua tena mambo ya instagramu.
 
yani hako kadem ni kazuri mpka kuna siku kalihusika kwenye ubongo wangu nkiwa bafuni, hata zari hafikii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom