Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,190
Hivi msanii kama tunda kudanganya umma kama ulikua kwenye gari iliyopata ajali unamaana gani? ona sasa umeumbuka kijana aliyekua na marehemu kasema yeye ndo alikua ndani ya gari na wewe ulikua nyuma na gari nyingine kudanganya uma kama ulikua ndani ya gari ili iweje sasa? kweli kabisa umekosa kiki mpka uone hii ya ajali ndo bora kwako