Ebwana wanaJF Mzuka!
Nimeshangaa kusoma mda si mref kwenye mtandao kwamba mwanamzik maaruf dunian miondoko ya Pop Prince (Si maanish huyu wakwetu aliyetubania wa kaskazin) kifo chake...
Ni ile ile ishu ya kumdhulumu Mr Blue wimbo wake freedom, hizi ni kick za kujisafisha kupitia vipindi mbalimbali vya runinga. Last week alikuwa FNL, leo yupo Beatz Agenda!
Kanye West 'fired security guard just before the Met Gala because he tried to talk to his wife Kim Kardashian'
And Kanye West has allegedly fired a security guard after he caught him trying to...
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya amemtaka Shetta kuacha kutumia jina la ‘Mamba’ kwani hiyo ni ‘aka’ yake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka mingi.
Akizungumza na Bongo5...
Nadhani ni kutojua muziki na ushamba ndio unatusumbua wabongo wengi.
Kwanza niwafunze kitu wote hapa leo, iko hivi: Shabiki hutakiwi kuwa unamshabikia msanii hadi unajiita team fulani, muziki sio...
Mhusika Mkuu katika filamu ya “Imebuma” Bw. Eliasa Mkaly (Rashidi kisoda) akimbembeleza muigizaji na mtayarishaji wa filamu hiyo Bi Sarah Nyika (Asha Mauno) mara baada ya Bodi ya Filamu Tanzania...
Baada ya wimbo wa ‘Freedom’ kufanya vizuri kwenye media mbalimbali, Sugu anajipanga kuandaa shindano litakaloshindanisha nyimbo itakayoizidi wimbo huo.
Siku kadhaa zilizopita baada ya Sugu...
Nilikuwa napitia pitia instagram nikashangaa kuona katoto ka Diamond kana followers 527k. Nikajiuliza ni kitu gani wanachokifuatilia? Nilipoingia sikuona la maana zaidi ya picha zake akiwa kalala...
Kinachoendelea sahizi instagram ni Mtifuano na ukorochoaji wa Maisha ya watu! Watu wapo busy,watu wapo katika pirika pirika za kutafuta ukweli kujua nini kinacho endelea kati ya Zari na Diamond na...
Sio mpenzi kabisa kabsaaaa wa hizi muvi za bongo wala Naijeria.
Ila hapa hom mda wote nikienda nikirudi mke na watoto nakuta wameconcetrate [emoji15] hadi wanaunguza chakula.
Sababu sio mpenz wa...
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa!
Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha...
Msanii wa kizazi kipya Ferooz amefunguka na kusema ni bora mtu apate virus vya Ukimwi kuliko kutumia madawa ya kulevya kwani anadai mtu akitumia dawa za kulevya mwisho wake ni kuaibika na...
Katika siku za karibuni mwanamuziki daimond ambae video zake zinaoneshwa karibu na kila tv hapa nchini ametoboa pua na kueka picha yake, hili ni suala ambalo ni geni hapa kwetu na kwa mila zetu...
Hellow
Kuna fununu kuwa Idris Sultan anatoka kimapenzi na Wema Sepetu, na kama tunavojua wadau Wema Sepetu anachotaka huwa ni pesa tu (ukiangalia dating history yake)
Pia inasemekana sahiv...
Giggs' £20m divorce: Footballer faces record payout as wife snaps over him 'chatting up waitresses'
The former Manchester United winger split from his wife three months ago
Giggs, 42, is...
Kwenye taarifa ya Habari Clouds Tv huwa kuna segment ya mtu anajiita "Mwewe",huyu kazi yake ni kuibua kero na mambo mbalimbali katika jamii na kuyarusha kwa kichagizo na sauti ya umaridadi...
Mshindi wa big brother mwaka 2014 idris sultan tetesi zilizozagaa mitandaoni kwamba kuna mtu alimpa pesa zake kwa ajili ya lakini alizitumia kinyume na makubaliano.
Ikumbukwe mshindi huyo wa...
Katika hali ya kustaajabisha ni kwamba redio mpya tena ina miaka miwili tu tangu ianzishwe na inakamata mkoa mmoja tu(DSM),inazidi kubamba na kupaa kila kukicha kiasi kwamba imezifunika redio...
Leo nilikuwa interested kuangalia maisha ya diamond platnumz katika mambo ya mapenzi ma familia, jamaa kweli sijui ni matukio yanatokea automatically au yanakuwa arranged ila mambo yake ya mapenzi...
Recently, Cash Money boss, Mr Birdman had his shortest interview ever, in the breakfast club. Apparently, Birdman had some problems with the 3 hosts, and he let it known as soon as he got in the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.