Star wa Tanzania Diamond platnumz ni miongoni wa mastaa 3 wa Africa waliopata shavu la kufanya show kubwa zaidi nchini Marekani kwa wasanii wataotoka Africa kwa mara ya kwanza.
Wizkid, mr flavour...
Ni wasanii wa kike wanaokonga Nyoyo huku sauti zao zikisadikiwa kuweza hata kumtoa chura alikojificha. baadhi ya hit single zao ni
DAYNA NYANGE(NYAMA NDOGO)
1.mafungu Nyanya
2.Nivute kwako
3.i do...
hawa ni producers wa mziki waliofanikiwa kutengeneza hit single kitaifa na kimataifa
TUDD THOMAS
1.Number one remix-diamond ft Davido
2.Ndagushima-Ommy dimpoz
3.Make me sing-Diamond ft AKA...
Picha za Harusi ya Aunty Ezekiely Aliyofanyika Huko Dubai , Wengi Walikuwa na Shauku ya Kumuona Mume wake baada ya Aunty Kumficha kwa Muda Mrefu ...Haya Sasa Kudume Ndio Huyu Hapo Kwa Picha...
Ripoti kutoka mitandaoni zinasema kuwa Muheshimiwa Mbunge Sugu Amemzawadia Gari aiana ya Toyota Lexus kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwa mpenzi wake ajulikanae kama Happiness, Sugu na mpenzi wake...
mwenye kujua chochote kuhusu hili kundi yaan linaundwa na akina nani?? wote ni maprodyuza?? hit singe walizotoa au walizoshirikishwa ama chochote unachokijua kuhusu hili kundi tiririka
Mshindi wa shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan amesema ameanza kuingiza faida kutokana na uwekezaji aliyoufanya baada ya kutoka kwenye shindano la hilo ambalo lilimpatia zaidi ya Sh500...
Binafsi naamini yahaya itafunika tarehe 20 mwezi wa tano kwa kuwa muhusika bwana Yahaya kashatambulika na anajijua, mtalimbo wake Jide kashatwambia umelala na hautainuka mpaka mwana wa Adam...
Kuna uwezekano mkubwa, AY na Mwana FA wamefungua kesi ya masuala ya ukiukwaji wa haki miliki za kazi zao.
Mwanasheria maarufu nchini, Alberto Msando amepost picha Instagram akiwa kwenye...
Daaah!!Nimejistukia tu na-tune Clouds Tv,nikakutana na kipindi cha "TAKE ONE" cha Zamaladi,huyu mwanamke Faiza kweli zimefyatuka kidogo.Yaani mambo anayoongea unaona kabisa kuna fyuzi zimekata...
Ndani ya siku kadhaa zimeshatoka nyimbo kibao na bado zinakuja wasanii kwasasa inabidi wajipange kabla hawajaachia nyimbo zao. Ujipange kuanzia promo redioni na kwenye Tv pamoja na mitandao ya...
Habari za jpil wapendwa?? Kuna watu ambao walikuwa ni wabunifu na wapo safi sana katika shughuri zao.nazungumzia watangazaji na madj ambao walijizolea umaarufu sana ila kwa sasa hawajulikani...
Kuna wasanii hapa wana beef na redio hasa clouds fm,kwangu mimi naona ni ujinga sana msanii kuweka beef na chombo cha habari na mwishowe wanatugawa tu mashabiki wao.harafu unakuta beef zenyewe eti...
Kama unajua muziki utaelewa ninachomaanisha, ila kama hujui basi hutaelewa kamwe, hao wasanii watatu nadhani ndio wasanii wabovu kabisa hapa Tz, hawajui kuimba kabisa.
Hao ni wasanii wa...
Habar za sikukuu?? Natumain mmesherekea vema ...Mimi nmekua mpenz wa kusikiliza nyimbo za FALLY IPUPA na zaid namkubali jamaa sana. ...sasa mda mwingi nyimbo zake anantaja YASMIN NA KATI YA...
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa...
UNAWEZA usiamini lakini ukweli ndo huo...Jide majuzi ya tarehe 5 na 6 aliomba watu WAKE wa karibu kutafuta watu ili wamsaidie kupendezesha VIDEO ya wimbo wake mpya wenye maneno ya kinyago...
Mwanamuziki nguli kutoka nchini Marekani NE-YO ambaye amekuwa akitamba kwa muziki ya mahadhi laini, anatarajiwa kuwasili nchini Mei 19 kwa mwaliko wa Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.