Migomba
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 945
- 1,334
Nilikuwa napitia pitia instagram nikashangaa kuona katoto ka Diamond kana followers 527k. Nikajiuliza ni kitu gani wanachokifuatilia? Nilipoingia sikuona la maana zaidi ya picha zake akiwa kalala, anabembea, kabebwa, au amepanda kwenye kigari cha watoto n.k.
Idadi hiyo ya followers ni kubwa kuliko ya wasanii na watu ambao tuna kitu cha kuwafuatilia.
Mfano Dully Sykes, Profesa J, Mr Blue, na Belle9 ambao ni moja kati ya wasanii maarufu na ambao wana mchango na influence kubwa.
Shaffi Dauda na Edo Kumwembe ni wachambuzi ambao almost kila mechi muhimu watakupa updates na uchambuzi. Wapo wengine wengi walio muhimu wamezidiwa followers na huyu mtoto.
Baadhi ya watu na followers wao tar 28 Apr 2016 ni:
Princess Tiffah Dangote 527k.
Profesa J 389k.
Belle9 218k.
Mr blue 525k.
clouds TV 294k.
Shaffi Dauda 332k.
Edo Kumwembe 140k.
Dully Sykes 369k.
Salama Jabir 329k.
Jacob Steven Jb 421k.
B12 twangala twiz 512k.
Je hii inaleta maana gani kwako?