Ama Kweli Diamond ni "Mzungu"

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa!

Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha Vinyongo pamoja na Biti zote anazochimbwa na Ivan!
9b98960a986225606a0ffce516c459d0.jpg
 
Yaani kumtakia tu kheri ya kuzaliwa ameshakuwa mzungu?kwanini kila jambo lenye mwelekeo mzuri hufananishwa na mzungu ina maana sisi tusio wazungu hatuna uwezo huo?
 
Sijaona uzungu wowote hapo!!!!
Ninachojua, wanaume wana moyo mpana kwenye suala la watoto wa kufikia (walio kuja na Mwanamke)
Mwanamme kama hamtaki mtoto husema waziwazi kabda ya mahusiano kufikia mbali na akikubali huwa harudi tena nyuma.
Tatizo linakuwa tu pale mwanamke anapoficha kuwa anamtoto na kuja kusema wakati wamesha amua kuishi pamoja...
Huo sio uzungu, ndivyo wanaume wa ukweli walivyo...
 
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hatimaye Diamond platnumz amempost na kumuwish Happy B day mtoto wa kufikia mtoto wa Zari bila kinyongo kabisa!

Wanaume inabidi kuiga mfano huu na kuacha Vinyongo pamoja na Biti zote anazochimbwa na Ivan!
9b98960a986225606a0ffce516c459d0.jpg
Hapo umejidharau mwenyewe kuwa mzungu ni bora kuliko wewe.... Wazungu wenyewe hawana habari na ngozi nyeusi nenda kenya usikie wazungu wanavyo wafanyisha ngono mtu mweusi na mbwa, mbona watu weusi tupo vizuri wakina baraka obama nk bado unatufananisha na hao washenzi
 
Sijaona uzungu wowote hapo!!!!
Ninachojua, wanaume wana moyo mpana kwenye suala la watoto wa kufikia (walio kuja na Mwanamke)
Mwanamme kama hamtaki mtoto husema waziwazi kabda ya mahusiano kufikia mbali na akikubali huwa harudi tena nyuma.
Tatizo linakuwa tu pale mwanamke anapoficha kuwa anamtoto na kuja kusema wakati wamesha amua kuishi pamoja...
Huo sio uzungu, ndivyo wanaume wa ukweli walivyo...
Mzungu wa tandale ...
 
Back
Top Bottom