The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,395
- 20,630
Leo nilikuwa interested kuangalia maisha ya diamond platnumz katika mambo ya mapenzi ma familia, jamaa kweli sijui ni matukio yanatokea automatically au yanakuwa arranged ila mambo yake ya mapenzi yamempatia kick haswa, kwa kuangalia wema, wolper, uwoya, penny, na hata mama ake mama zari hassan.
Jamaa kama haka katoto ka video queen ka " kwetu by raymond" anakatumia kwa ajili ya kick basi itakuka kum cost sana kwa mwanae tiffah dandangote, naongea kama baba wa mtoto nimegombana na mama wa mtto wangu lakini hatuwezi kumu involve mtoto kama tiffah maskini ya Mungu, mtoto hajui chochote, atamchukia baba yake maisha yake yote, mbaya zaidi hapa nilipo ninaweza kusoma habari zilizokuwa mtandaoni miaka ya 90's
Aangalie mfano wa mme mwenzake ivan wa south africa aache uswahili wa tandale, yeye ni international icon.