Sugu yupo tena TBC1 sasa anazungumzia tena ule wimbo wa Mr Blue, Freedom

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,488
Ni ile ile ishu ya kumdhulumu Mr Blue wimbo wake freedom, hizi ni kick za kujisafisha kupitia vipindi mbalimbali vya runinga. Last week alikuwa FNL, leo yupo Beatz Agenda!
 
Wenye wimbo wameshatoa tamko ..sasa blue amedhulumiwaje ?? Na mbona blue ajafungua mdomo toka doxa chali atoe uthibitisho huo??
 
Blue anatumia busara.. Sugu anaangaika dhambi ya usaliti inamtesa.[/QUOTE
Ni kwweli kabisa hii dghambi haitamwacha. Pesa za NBungeni hazimtoshi tu? Huyu ndio anatakiwa awatete wanamuzike, yeye ndio anakuwa wa kwanza kuwadhulumu wanamuziki. Shame on him! Hii ndio type ya Wabunge tulionao, shame!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom