barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Kwenye taarifa ya Habari Clouds Tv huwa kuna segment ya mtu anajiita "Mwewe",huyu kazi yake ni kuibua kero na mambo mbalimbali katika jamii na kuyarusha kwa kichagizo na sauti ya umaridadi
Mbwembwe zote zile za "Jamani mwewe anaulizaaaa huu ni uungwana?".Huyu mwewe amesaidia kero nyingi ndani ya Dar kupatiwa ufumbuzi