Kumbe Prince ni ngoma iliyomuondoa

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,787
32,629
Ebwana wanaJF Mzuka!

Nimeshangaa kusoma mda si mref kwenye mtandao kwamba mwanamzik maaruf dunian miondoko ya Pop Prince (Si maanish huyu wakwetu aliyetubania wa kaskazin) kifo chake kilisababishwa na ukimwi.

Inasemekana alipata ngoma maka ya 90 ila majuz ikadevelop into AIDS. Alishahuriwa apate matibab ila akawa mgum akidai ni Mungu pekee tu atamponya.

Huu ugonjwa haubagui uwe tajir maskin dah kibaya zaid umekaa pabaya hapo tu. Ni Mungu kutupa uvumiliv tu hamna jins!

R.I.P Prince

Prince 'was diagnosed with AIDs six months before he died'
 
ChIAxvZW4AIL9nK.jpg
 
Akiwa kama mtu mzima zaidi ya umri wa miaka 18 ana uhuru wa kukataa au kukubali matibabu. Inhibitors zinavusha masikini yeye na mahela yake angeweza kutibiwa hata private hospital.
 
Halafu unakutana na jamaa unamwambia tukapime anaanza kubabaika!! Imagine HIV iko na jamaa since 1990 it is now 26 years dalili zinatokea na anakufa. Jamani fanya maamuzi magumu nenda kapime, ukijua status yako itakufanye ujichunge kama ni safi au uanze tiba lishe kama umeshavita. I tell you kwa hela Prince angekubali dawa angeongeza another 20 years.
 
Ila kadunda mazee.
26 bila dawa yoyote?
 
nashindwa kucomments mana nilisha connect dots na freemasons hata papa wemba nilihic hivo
 
Halafu unakutana na jamaa unamwambia tukapime anaanza kubabaika!! Imagine HIV iko na jamaa since 1990 it is now 26 years dalili zinatokea na anakufa. Jamani fanya maamuzi magumu nenda kapime, ukijua status yako itakufanye ujichunge kama ni safi au uanze tiba lishe kama umeshavita. I tell you kwa hela Prince angekubali dawa angeongeza another 20 years.

Hata zaidi, ulaya sikuhizi ukimwi ni kama kisukari na blood pressure, ukinywa dawa kila siku mambo mswano hata 50 unapiga.
 
Kawaida sana kwa mtu anayejitunza
Kuna binti nilisoma nae amefariki mwaka jana akiwa na umri wa 27 kwa ajari ya gari
Inasemekana aliambukizwa virusi kwa kunyonya maziwa ya mama yake
 
Back
Top Bottom