Sugu: Wimbo utakaouzidi ‘Freedom’ utapata zawadi ya shilingi milioni 5

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
Sugu-300x194.jpg

Baada ya wimbo wa ‘Freedom’ kufanya vizuri kwenye media mbalimbali, Sugu anajipanga kuandaa shindano litakaloshindanisha nyimbo itakayoizidi wimbo huo.

Siku kadhaa zilizopita baada ya Sugu kuachia video ya wimbo wa ‘Freedom’ ulizua taharuki baada Mr Blue kulalamika kuwa Sugu kamuibia wimbo wake kabla ya uongozi wa studio ya MJ Record ambapo wimbo huo ulitayarishwa kuliweka sawa tatizo hilo.

Akizungumza kwenye kipindi cha FNL, kinachoruka kupitia EATV, Sugu amesema ‘tutaandaa shindalo la kushindanisha nyimbo itakayoizidi wimbo wa ‘Freedom’.

“Tumeshaonge na media moja ambayo tutapeleka wimbo wa ‘Freedom’ ambao wasanii wanaotaka watarekodi wimbo wataupeleka hapo. Kutakuwa na majaji kwenye shindano hilo watakao chagua nyimbo kumi bora na baadae kupata nyimbo moja. Mshindi kwenye shindano hilo atapata shilingi milioni tano,” aliongezea.

Sugu amesema kwenye shindano hilo halitabagua msanii yeyote kila mtu anaruhusiwa hata awe Mr Blue.

Source: Bongo5
 
le mutuz hajamaliza kutunga wimbo wake ili aingie kinyanga'anyironi??
 
Kazeeka huyo. Asije akashindwa kutekeleza ahadi yake kama Lissu.
 
Hata yeye kasema haimbi kwa ushindani,anaimba tu ili "kupush" Game ya Muziki wa Hip hop na Bongo Flavour
Anajuwa yeye ni mkongwe,na hata jana kasema "He Got Nothing,But Love"....hafanyi ushindani ila hisani

Ni kama yale mashindano ya bonanza wanayocheza kina Thiery Henry na Louis Figo,hawachezi kiushindani na wala wawapo uwanjani hawafanyi yale aliyokuwa anafanya Henry pale Highbury wala Figo pale Santiago...Wanachokifanya ni hamasa tu...Lkn kutokufanya kwao manjonjo haimaanishi hawakuwahi kuwa bora katika kiwango cha dunia

Msiwe na wivu,that is hip hop life homie
 
Haya bana, "Yamenikuta mzee mwenzangu, sina changu,wanga wengu anga zangu, ama zao ama zangu, kiama chao ama changu,ukiisha kwa upanga utakufa kwa upanga," Dah! Enzi zake hizo, ila sasa hivi! Kwishne!
 
be creative in the world of competition...this is how we need to be in the sophisticated capitalism system
 
tatizo hamjui hip pop halafu mnabishana tu..

sugu anashindanisha watu kuimba wimbo bora wa freedom.. sio wimbo mwingine..

watakachofanya ni kupeleka beat na chorous ya freedom..

then kila msanii atatengeneza nyimbo yake kwenye hiyo beat with a chorous...

Na pia mkumbuke sugu hajafanya wimbo kama serious mwanamuziki anaetegemea wimbo umpe chakula au kumlipia kodi...

yeye amefanya just for love.. ni kama bonanza vile umwalike luis figo au ronaldo mkubwa
 
Hata yeye kasema haimbi kwa ushindani,anaimba tu ili "kupush" Game ya Muziki wa Hip hop na Bongo Flavour
Anajuwa yeye ni mkongwe,na hata jana kasema "He Got Nothing,But Love"....hafanyi ushindani ila hisani

Ni kama yale mashindano ya bonanza wanayocheza kina Thiery Henry na Louis Figo,hawachezi kiushindani na wala wawapo uwanjani hawafanyi yale aliyokuwa anafanya Henry pale Highbury wala Figo pale Santiago...Wanachokifanya ni hamasa tu...Lkn kutokufanya kwao manjonjo haimaanishi hawakuwahi kuwa bora katika kiwango cha dunia

Msiwe na wivu,that is hip hop life homie

Sasa hamasa kwa nani?

Sidhani kama Mesi, Ronaldo, Suarez au Neymar wanahitaji hamasa za kina Figo kufunga mabao.
 
Sasa hamasa lwa nani?

Sidhani kama Mesi, Ronaldo, Suarez au Neymar wanahitaji hamasa za kina Figo kufunga mabao.
Hamasa huwa si kwa ajili ya "Maveteran" huwa si kwa ajili ya "Seniors" katika game ila ni kwa ajili ya "Juniors".....Messi,Ronaldo na Suarez kama "Seniors" hawahitaji sana hamasa kutoka kwa "Veterans" ila ushauri tu
Sugu ni "Veterans" anatoa hamasa kwa "Juniors"
 
Back
Top Bottom