Mzee majuto ambaye amejipatia umaarufu sana kwa uigizaji hususani katika Comedy ametoa kauli rasmi kuwa kwa sasa ameamua kuachana na kazi hiyo ya uigizaji na sasa kumtumikia Mungu na kuomba...
Habari zenu wakuu.
Kwa sasa sio jambo la ajabu kwa msanii wa TZ kuwa na usafiri,ila kilichonishangaza kwa msanii Harmonize kwa kipindi kifupi tu kuweza kumiliki gari aina ya Mark X ina maana...
Kuna Watu walikuwa na vipaji kwenye ulimwengu wa muziki hasa WA kikongo. Kuna jamaa alikuwa anaitwa diblo dibala alkuwa mpiga solo getter maarufu Sana. Hata hvyo baadaye akatokea kijana mwingine...
Nyota wa muziki wa Rap Bongo ‘Rhymes Of Magic Attraction’ Roma amethibitisha fununu za kuwa muziki anaoufanya umekua ni msalaba mzito kwenye maisha yake.
Akizungumza na eNewz Roma alisema kuwa...
Bongo ina wasanii wengi sana, kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo Diamond ila wanapendwa kupita maelezo, na 10% wanajua muziki kifupi ni wakali akiwemo Rama dee na Steve wa RnB...
Davis Mosha ambaye aliyekuwa mgombea Ubunge Moshi mjini kupitia CCM 2015, afungua studio yake. Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wake wa Facebook.
Tunaomba wenye taarifa zaidi watujuze masafa ya...
Forbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five.
Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa na...
Chama cha Lembebezz Akili kubwa Instagram (LAKI) leo kimejikuta katika vita kubwa ya hela baada ya kugombania kununua picha ya King of all social media bongo,vita hiyo ilianza baada ya king huyo...
Kwenye ile thread ya tetesi za Diamond na Shetta kuzinguana kisa madai ya Diamond kumtafuna mke wa mshikaji, kuna member humu alifunguka vilivyo kuhusu mke wa Shetta kuliwa sana na Diamond pande...
Msanii wa vichekesho na muimbaji, Kingwendu amesema angependa kuwa na msimamizi wa shughuli zake katika sanaa ya muziki ili aweze kutoka badala ya kutegemea uchekeshaji peke yake.
Msanii wa...
Beyonce na Jay Z waliamua kufanya uamuzi wa pamoja wa kuzusha tetesi za kuachana kwa lengo la kutengeneza pesa.
Uamuzi huo ulihusisha kuuza kopi nyingi za Album mpya ya Beyonce #Lemonide yenye...
Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe
Pembeni akiwa amezungukwa na warembo waki-massage massage...
Heshima kwenu wakuu,
Hii video ya Snura ya Wimbo wa Chura anarukaruka, ikitoka tu naomba ifungiwe. Mkishaifungia mumpige msanii marufuku ya kujihusisha na Muziki kwa Miaka mitatu. Hatuwezi...
Picha hii inasemekana ndilo kaburi atakapozikwa mwanamziki Maarufu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kwa jina la Papa Wemba.
Huu ni zaidi ya ufahari, lakini mimi naona hauna maana..
Kuna tetesi kuwa sebo hakufurahishwa na ujio wa gerad hando na pj pale E. fm na kuona atafunikwa kwenye kipindi cha joto la asubuh akaamua kusepa hizi tetes ni za kweli? au ni stori za kitaa?
Masoud Kipanya amerejea tena Clouds FM baada ya kupita muda mrefu takribani miaka minane tangu aondoke. Mchoraji huyo maarufu wa katuni ya Kipanya, anasikika kwenye kipindi cha asubuhi cha Power...
PRINCE tragically died last week, and has left a $300 million fortune without a will. The star’s has two ex-wives, no children and a string of half-siblings, so who’s going to get his $300 million...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.