adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Sio mpenzi kabisa kabsaaaa wa hizi muvi za bongo wala Naijeria.
Ila hapa hom mda wote nikienda nikirudi mke na watoto nakuta wameconcetrate hadi wanaunguza chakula.
Sababu sio mpenz wa hizo muvi me nikifika hom nachukua laptop naingia JF maana ndio burdani yangu ingawa kuna vilaza huku wengine wanaharibu maadili ila kwa kusoma huwezi kuharibika km kutazama muvi.
Hivi nnavyowaachia huo uhuru wa kutazama na kujiachia zinawajenga au kuwaharibu ili nipige block channel za kibongo muvi.