Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,635
- 29,509
Katika siku za karibuni mwanamuziki daimond ambae video zake zinaoneshwa karibu na kila tv hapa nchini ametoboa pua na kueka picha yake, hili ni suala ambalo ni geni hapa kwetu na kwa mila zetu hivyo basi BASATA ipige marufuki video zake ili wale ambao walikua ni role model wao wasije nao wakaiga huo upuuzi masna wao wanafuata kila anachofanya mtu wao, pia na mashabiki ambao wanamshabikia huyu jamaa ni muda wa kumkataa nakumuonesha kuwa nasi tu na mila zetu na sio za kishenzi kama wanavyoaminishwa huko. Plz lets say no to diamondkipini