Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Naomba msome hii hapo chini maana mimi naona huyo mwanamke ni chizi.Kweli unataka wanawake watumie private parts zao kama asset.
1 Reactions
113 Replies
18K Views
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani. Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu Diamond kwa muda sasa ikiwemo hata...
5 Reactions
70 Replies
20K Views
Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile...
9 Reactions
122 Replies
24K Views
Nimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na Diva… Aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au? Kizungu kimemchanganya mpaka kaomba kwenda kulala. Na...
3 Reactions
84 Replies
13K Views
1. Afande Sele vs O Ten Hawa wote ni vijana kutokea Mkoani Morogoro kwa kirefu walishawahi kati beef ambayo kwa kiasi flani ilikuwa gumzo 2. Dudubaya vs Mr Nice ugomvi kati ya Dudubaya na Mr...
0 Reactions
136 Replies
35K Views
Ukiingia conference room ya ikulu utakutana na hii picha ya Nasib Abdul almaarufu Diamond Platnumz.
4 Reactions
77 Replies
28K Views
Hatuna budi kuwapongeza wasanii hawa mashuhuri katika Tasniaa ya uchekeshaji kwa mafanikio makuu wanayoyapata. Sasa hawa ni mfano wa kuigwa ni watu walio makini na kutunza majina yao (Image and...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Hivi ni msanii gani wa kike Bongo movie ana movie zake zinauza sana? Kila siku nasikia wanajiita bongo muvie lakini sioni wakitoa hizo movie..... Zaidi ya kusikia huyu kampata yule na yule...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ameandika haya instagram "I don't know about these award shows.. No disrespect to anybody at any of the shows or the people running it. Nothing but love for you guys and your support. But I don't...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mapenzi ya kijana wa WCB anaeitwa Harmonize na mlimbwende Wolper sasa yamekuwa hadharani.
1 Reactions
82 Replies
21K Views
Kama ilivyo kwa kichwa cha habari hapo juu nimejaribu kufikiria sana kuhusu hili swala na nikaona ni tatizo kubwa sana Kwanini wasanii wa THT ambao wanavipaji na wanafundushwa namna ya kuwasaidia...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Charlotte Hill O'Neal a.k.a. Mama C, namfahamu kama black panther,ebu muone jinsi alivyopendeza mama wa watu
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Juzi nilitamani nimtafute Ali na kumpongeza personally kwa kuwataka watu wampigie kura Dee sababu niliona sasa angalau wasanii wetu wameanza kukomaa na kuacha mambo ya kitoto! Ni kitu kizuri na...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakati msanii Ali Kiba hajaweka bayana mkataba wake na Sony unagharimu kiasi gani,huko majuu msanii Adele amevunja rekodi kwa kusaini mkataba wa gharama zaidi kuwai kutokea duniani. Hii...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
MASTAA wawili wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Gift Stanford ‘Gigy Money’ wamejikuta wakiingia kwenye mtifuano mkali baada ya kutoleana maneno machafu. Ishu ilianzia kwa Gigy ambaye alisema...
2 Reactions
34 Replies
12K Views
Kwanza niseme tu ukweli, Mimi kipindi ninachosikiliza Clouds Fm ni XXL tu na terminal cha Abela na Harisi. Vingine vyote naona havinivutii kabisa. Sasa ni hivi. Hiki kipindi cha XXL kwa wale...
3 Reactions
75 Replies
13K Views
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Chura’ juzikati akiwa kwenye shoo iliyofanyika Masasi, Mtwara alijikuta katika wakati mgumu baada ya kunusurika kupigwa na mashabiki wake kisa kikiwa ni...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakubwa natanguliza shukurani kwenu wote na kuwapa sifa tele kwamba mmekuwa msaada tosha kwa jamii katika mafundisho na hoja zenu humu Hoja yangu kuhusu huyu mtangazaji na mwandaaji wa makala za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom