Mpoki sasa na Vodacom,Joti na Tigo,Masanja na wali nyama

nalazuzu

JF-Expert Member
May 17, 2016
481
439
Hatuna budi kuwapongeza wasanii hawa mashuhuri katika Tasniaa ya uchekeshaji kwa mafanikio makuu wanayoyapata. Sasa hawa ni mfano wa kuigwa ni watu walio makini na kutunza majina yao (Image and reputation kwa public) hii imewajengea heshima na kupata Deal mpya kila wakati.
 
Safi sana.

Wasanii wengine pia waige sasa.

Sio kila kukicha kupost mapicha ya makalio kwenye mitandao kuuza sura, badala ya kubuni njia za kuongeza kipato.
 
Safi sana.

Wasanii wengine pia waige sasa.

Sio kila kukicha kupost mapicha ya makalio kwenye mitandao kuuza sura, badala ya kubuni njia za kuongeza kipato.
Sure mkuu majamaa wana make money
 
Back
Top Bottom