Bifu kali kati ya Diamond na Clouds Media

blackeye

JF-Expert Member
Mar 28, 2016
300
225
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani.

Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu Diamond kwa muda sasa ikiwemo hata nyimbo mpya anazokuwa anatoa. Hii ni tofauti na mpinzani wake alikiba kwan yeye huposstiwa kila mara anapokuwa na kitu kipya na kizuri kwa mashabik wake.

Mfano juzi Alikiba alipokwenda South Africa, Clouds ilipost kupia mitandao na kutuma mwakilishi aende akareport Kiba akisign na Sony

Neyo kaja Tanzania, Clouds kimyaaaa, Millard Ayo pia tofaut na tulivyozoea hutupa habari hali imekuwa tofauti, hajareport lolote kuhusiana na ujio wa Neyo wala shoo ya Diamond.

My take: Millard usipotee njia, hao wapo na wewe sasa hivi, baadaye utaondolewa kama wengime walivyowahi fanyiwa.
 

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,645
2,000
Ukiona hivyo mods anakuepusha na Segerea. Siku hizi ukitereza kuandika kidogo wanakupa kesi ya makosa ya mtandao... Ukiaona thread yako inafutwa usife moyo... We endelea kutoa michango yako kwenye thread nyingine na michango yako itaendelea kuheshimiwa. Tatizo lako mkuu hujajua kuwa unapotoa michango yako humu, wewe ni kama mbunge tu... Wakubwa wote wa chama na serikali wapo humu JF, so michango yako itwafikia vizuri tu... Pia kumbuka, umuhimu wako ni mkubwa kuliko hata hao wabunge wanaowakilisha jimbo moja tu, maana wewe unawawakilisha wananchi wa nchi nzima. Ni hayo tu mkuu...
 

Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,378
2,000
Raha ya Mechi yoyote anaejua ni yule anaeshinda na sio anaepiga chenga nyingii.
Diamond ni Level nyingine kabisaaaa,acheni mas`hara kabisaa,
Then kwenye Pesa ndio kama hivyo ni Billionaire,sasa we uje ulinganishe na alikiba?
Halafu hizi ni issue za madem wa kibongo ndio wenye kuweka makundi,ila unakuta hadi midume imeingia humo.
Pesa anayomili Diamond anaweza kuanzisha kituo Kikubwa tu cha TV na Redio zaidi ya Clounds.
Leo huku Zanzibar Wapo WCB Team inafanya show,full mtete,balaaaa,nilipita pale wakati nakuja home,watu nyomi balaa.
 

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,157
2,000
Nanukuu xxl ya ijumaa..

Perfect crisp : Kiba kasaini mkataba wa kimataifa hakuna kama huo Tanzania hii

Mamybaie : Mungu ni wa wote au sio


Perfect crisp : Ndio Mungu ni wa wote sio wa said fella peke yake wala babu tale


Kennedy : Talk to them

Perfect : Huu muziki hamuwezi kujifanya nyie ndio mnaumiliki

Mami babe : Hahahahahah

Kennedy : Hahahahahah

Perfect : huu muziki sio wa mameneja fulani peke yao

Kennedy :mimi simo


Hii nimesikia kwa sikio langu
 

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,325
2,000
Raha ya Mechi yoyote anaejua ni yule anaeshinda na sio anaepiga chenga nyingii.
Diamond ni Level nyingine kabisaaaa,acheni mas`hara kabisaa,
Then kwenye Pesa ndio kama hivyo ni Billionaire,sasa we uje ulinganishe na alikiba?
Halafu hizi ni issue za madem wa kibongo ndio wenye kuweka makundi,ila unakuta hadi midume imeingia humo.
Pesa anayomili Diamond anaweza kuanzisha kituo Kikubwa tu cha TV na Redio zaidi ya Clounds.
Leo huku Zanzibar Wapo WCB Team inafanya show,full mtete,balaaaa,nilipita pale wakati nakuja home,watu nyomi balaa.

punguza mihemko kijana kuanzisha radio/tv sio kama kuanzisha WCB!
 

Sambusa kavu

JF-Expert Member
May 4, 2015
705
1,000
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa diamond na brand kubwa ya radio na tv clous fm bifu la hadharani. Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu diamond kwa muda sasa ikiwemo hata nyimbo mpya anazokuwa anatoa. Hii ni tofauti na mpinzani wake alikiba kwan yeye huposstiwa kila mara anapokuwa na kitu kipya na kizuri kwa mashabik wake
Mfano juzi alikiba alipokwenda South Africa clouds ilipost kupia mitandaon na kutuma mwakilishi aende akareport kiba akisign na sony

Neyo kaja tanzania clouds kimyaaaa millad ayo pia tofaut nabtulivyozoea hutupa habari hali imekuwa tofaut hajareport lolote kuhusiana na ujio wa neyo wala shoo ya diamond

My take.. :

Millad usipote njia hao wapo na wewe saiv baadaye utaondolewa kama wengime walivyowah fanyiwa

Mtoa mada naona uliruhusu mihemko binafsi katika kulitafakari jambo hili..DIAMOND NA CLOUDS HAKUNA KITU KINACHOITWA BIFU..ni target za biashara tu,kumbuka rafiki wa adui yako ni adui yako pia,kwa mantiki iyo kama unadhani clouds wanavompigia chapuo Alikiba halaafu wakamkaushia mondi kwenye promo zake ndo useme kuna bifu utakuwa umekosea sana..Alikiba na adui mkuu wa clouds Jide ni marafiki sana,wanashare management,wapo close na hata kwenye ndi ndi ndi show Alikiba alienda...usitegemee clouds ikamsapoti msanii yoyote yule ambae yupo karibu na Jide...never never,kwa Alikba walikuwa hawana namna maana kuna fursa pale...biashara zaidi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom