Harmonize na Wolper mapenzi tele tele

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
941
3,622
1464098377350.jpg


Mapenzi ya kijana wa WCB anaeitwa Harmonize na mlimbwende Wolper sasa yamekuwa hadharani.
 
Naomba kufanya reference Vipande vya Mashairi yafuatayo....

MOJA
Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana,
Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana,
Kwa wingi katika damu, tahamaki leo sina,
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana

MBILI
Owa siowe tambara, linukiyalo vibaya
Owa mwanamke jura, mlekeze njema ndia
Owa usiowe sura, kutaka kuzangaliya
Owa mzuri tabiya, mupendane na mkeo

TATU
Fikiri sana dunia, ina mzuri mdundo,
Fikiri sana yalia, ina mzuri mshindo,
Fikiri mwisho sikia, unapasuka msondo
Nasema fikiri mwisho na sio Mwanzo
 
Hizi tunaita kimjini real scene za wolper nimeangalia promo za kipindi mawingu tv ni kuigiza mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom