Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Binafsi mimi ni msikilizaji wa city fm radio ya dar es salaam,wanakipindi chao cha michezo kila siku kuanzia saa moja hadi saa mbili,katika hiko kipindi kuna mtangazaji mmoja hivi anasauti nzuri...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto. MAPENZI ya mjini utata mtupu! Ni kauli inayostahili kutumika baada ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Hassan Mobeto kumwaga chozi akidai...
3 Reactions
35 Replies
23K Views
Nijikite Madani. Bila Shaka watu wengi humu tuna mkubali sana mwanamziki Huyu nguli wa miondoko ya r n b ndani ya bongofleva. Huyu Ni kati ya wasanii wakubwa waliofungua uhusiano mzuri wa kimziki...
9 Reactions
63 Replies
13K Views
Huwa najiuliza itakuwaje siku Alikiba akiambiwa atoe japo speech ya Dk 10 kwa kiinglish sijui itakuwaje. Kama kunamtu kashawahi kumuona au kuna video ya Alikiba akiongea katika interview zaidi...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Msanii wa Kimataifa Alikiba aliye label moja ya Sony na wasanii wenzake Chris brown, John Legend, Beyonce, Davido etc. Leo hii amendelea kuchukua headlines kama Donald Trump wa Marekani, baada ya...
9 Reactions
41 Replies
7K Views
Mwanamuziki Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz amekuwa ni msanii pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kutajwa katika orodha ya wasanii watakaowania tuzo za BET 2016. Tuzo za BET mwaka huu...
8 Reactions
105 Replies
107K Views
Habari zenu wakuu, Kama ilivyo katika kichwa cha habari hapo juu, kama wewe ni mmoja ya wapenzi/watazamaji wa filamu za ngumi, basi kwa upande wa bongo huwezi kumwacha nguli huyo mwenye uwezo...
1 Reactions
27 Replies
21K Views
Msanii wa RnB kutoka Amerika maarufu kwa jina la Ne-yo amewasili leo jijini dar kwa ajili ya kupiga sho
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwanamuziki Sheta amesema kwamba kutokana na ratiba yake kuwa ngumu hapendi kukutana na watu na hata sasa amehama Kijitonyama chanzo Clouds sasa hivi
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pasipo na ubishi wala kuteteleka hili ni jambo zuri ever...baada ya Msanii Mkubwa kumtaka msanii mwenzake ambaye naye ni Mkubwa aje...nijambo jema! Nahisi huu ugomvi wale waliokuwa wananufaika...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wabunge wawili vijana wanaoheshimika na jamii ya Bongo Fleva, Joseph Mbilinyi (Sugu) na Joseph Haule (Profesa Jay) na wakali wa Hip Hop wa muda wote Tanzania, wamekiri kuwa ilikuwa ni kilio chao...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Uzi huu ni maalum kuwatambua wasanii wanaoimba katika matangazo mbalimbali kwenye redio na luninga zetu bongo. Huwa yanavutia sana kwa sauti za kupendeza. Napenda kuwafahamu walioimba matangazo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wimbo mpya wa Gnako na Niki wa 2 umewafanya waharibu image zao kwenye jamii Wimbo mara ya kwanza walimfata Nisher kutengeneza video baada ya kumaliza kushoot kabla hawajamlipa wakasema haiko poa...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Poshy popote ulipo nisikie kilio changu
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back in the day, The "New York king" Notorious Big, said some disrespekful about Bay-area's Emperor, E-40. Apparently, Big had an interview with this magazine, where he was asked to rate...
5 Reactions
50 Replies
6K Views
Tickets za VIP zimekwisha Unaweza kuendelea kununua tickets za 20,000/= kupitia vituo vifuatavyo OMGift Shop Dar Free Market Shear Illusion Mlimani City American Nails Salon Kinondoni Na...
6 Reactions
465 Replies
46K Views
kwako wewe lemutuz akili ndogoz ambaye uzalendo ni pale kunapikuwa na mazuri ya ndomo tu..shame on you wote mnaoponda msichoelewa Alikiba Becomes the Second African Artist to Sign a Global Music...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
www.bongo5.com/mtazamo-wangu-ya-sakata-la-g-nako-na-nisher-kuhusu-video-ya-arosto-05-2016/
2 Reactions
0 Replies
936 Views
Aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds FM, Fina Mango, amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia jana, akiwa nyumbani kwake na familia yake.majambazi hayo yapataya 8, yalivamia na kuchukua pesa taslim...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Back
Top Bottom