Charlotte Hill O'Neal a.k.a. Mama C

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,425
Charlotte Hill O'Neal a.k.a. Mama C, namfahamu kama black panther,ebu muone jinsi alivyopendeza mama wa watu
12494708_10206138258712239_569570378017729228_n.jpg

11065849_10204041925385216_1402528300378667482_n.jpg
10806384_10203758637223189_6359993775826351767_n.jpg
 
Duuh we have different ways of judgin the beauty n the good looking.Kwangu naona amechukiza tu, hajapendezaa hata
 
Ebwana kwa wanaomfahamu vizuri mama C ni moja wa wanaharakati wakubwa sana wa kukuza muziki na sanaa Arusha sana sana maadhi ya HIPHOP..kwa wale wanaojihusisha na hiphop kwny planet huwezi kumbeza huyu mama...lakini pia anasaidia jamii kwa mfano ana charity organization ya kulea watoto wasiojiweza..Binafsi namu appreciate sana Mama C..much love
 
kabisa,namkubali sana mama C
 
Natokea Arusha, nafuatilia hip-hop kiasi, ila sijawahi kumsikia kabla. Ni harakati zipi ali/anazofanya?
 
Natokea Arusha, nafuatilia hip-hop kiasi, ila sijawahi kumsikia kabla. Ni harakati zipi ali/anazofanya?
Kama unafuatilia project inaitwa S.U.A (saving underground artist) na kuna project inaitwa Mstaafrika ana mchango mkubwa sana..mbali na hiyo kama ni muhudhuriaji wa ViaVia arusha anapiga sana show za Live na vyombo vyake vya asili.....Ni mwalimu pia kwa wasanii
 
The living legend Mama C kaimba pia na wasanii kama JCB, FID Q, Chindo Man, Dunga na wengineo..namuelewa sana uyu bibi
 
Kama unafuatilia project inaitwa S.U.A (saving underground artist) na kuna project inaitwa Mstaafrika ana mchango mkubwa sana..mbali na hiyo kama ni muhudhuriaji wa ViaVia arusha anapiga sana show za Live na vyombo vyake vya asili.....Ni mwalimu pia kwa wasanii
kwenue S.U.A yeye huwa ni mualikwa tu, wenye S.U.A ni Okoa Mtaa Foundation.
 
Natokea Arusha, nafuatilia hip-hop kiasi, ila sijawahi kumsikia kabla. Ni harakati zipi ali/anazofanya?
She is former Black Panther, Mama Charlotte Hill O'Neal is an accomplished poet, musician and visual artist, and Founding Director of Tanzania's United African Alliance Community Center (UAACC), a community-based organization which promotes community development in rural Africa. The UAACC has a number of independent media projects as part of its powerful community work including hip hop, music production, photography, videography, poetry, theater and the development of an independent radio station. Four decades after leaving this country for exile in Tanzania, Mama Charlotte Hill O'Neal returns to share the inspirational story of how she and her husband's past as Black Panthers affects their work among the urban and village youth of East Africa and America.

She will be screening an excerpt from A Panther in Africa, the award winning PBS documentary about the life, work and inspiration of Charlotte's husband, former Kansas City Black Panther leader and founder of UAACC, Pete O’Neal, and a clip from Spirit of Resistance--the story of the UAACC's work with Prometheus radio to build an independent radio station. In addition she will share hip hop videos created by youth at the UAACC, as well as perform poetry from her book Warrior Woman of Peace.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom