juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kwanza niseme tu ukweli, Mimi kipindi ninachosikiliza Clouds Fm ni XXL tu na terminal cha Abela na Harisi. Vingine vyote naona havinivutii kabisa. Sasa ni hivi.
Hiki kipindi cha XXL kwa wale ambao wanasikiliza watakuwa wamegundua kitu ya kwamba kuna jamaajina limenitoka ila ni mpya kwenye XXL, yule jamaa wanampush ili awe sawa na akina Dozen na Mchomvu na hivo kila siku yeye ndie anayefungua kipindi na kufunga. Lakini pamoja na kumpush huko ila jamaa bado sana hajajua namna ya kutangaza kipindi cha XXL hadi kikavutia kama anavokifanya Dozen(B 12).
Kwanza jamaa anaongea kwa mihemko sana na hivo kupoteza ladha, halafu ameshindwa kujibland yeye kama yeye na hivo kujikuta ana uB12 na uMchomvu na hivyo kupoteza ladha kabisa.
Kifupi clouds wanataka kulazimisha jambo ambalo haliwezekani kabisa. Wanatakiwa wajipange sana na ikija kutokea B12 na Mchomvu wanahama ile redio ni wazi kabisa kwamba XXL itapoteza wasikilizaji kabisa kwa sababu hadi sasa hakuna anaeweza kufit nafasi zao.
Note: Hakuna redio yenye wasikilizaji wengi na vipindi vya kupangika kama clouds Fm, ni kama maji tu ile redio.