ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,664
Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.
Wimbo huo unaitwa I will Marry You na utatoka muda si mrefu..
Wimbo huo unaitwa I will Marry You na utatoka muda si mrefu..