yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,636
- 3,660
Nimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na Diva… Aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au?
Kizungu kimemchanganya mpaka kaomba kwenda kulala. Na Diva nae anaboa sana ma misifa yake ya kupenda kuongea kizungu. Si aangalie anamuinterview mtu wa aina gani!!!
Jamani ukishakuwa msanii tena maarufu jitahid kujua na kakidhungu kidogo. Huoni hata baba Tiffer hawezi kukiimba lakini angalau kuongea anajitahidi.