Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Wakati msanii Ali Kiba hajaweka bayana mkataba wake na Sony unagharimu kiasi gani,huko majuu msanii Adele amevunja rekodi kwa kusaini mkataba wa gharama zaidi kuwai kutokea duniani.
Hii inaonesha ni jinsi gani kampuni hiyo ya Sony inataka kuwanyonya wasanii wachanga kama Alikiba kwa kuifanya mikataba hiyo kuwa ya kisiri huku wasanii wakubwa mikataba yao inawekwa bayana. Kwa mambo kama haya napenda kumpongeza Diamond platnumz kwa maana mikataba yake mingi huwa inawekwa bayana hii inaonesha ni jinsi gani kakomaa na menejimenti yake iko kikazi zaidi.
#mckonjetv