Mange unataka kufundisha nini wanawake?

NDEO

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
813
188
Naomba msome hii hapo chini maana mimi naona huyo mwanamke ni chizi.Kweli unataka wanawake watumie private parts zao kama asset.
06c1cde66c1745c8e9866e238dec4491.jpg

5c5e123368bb6501c04e79eb816e94c0.jpg
 
Huyu mwanamke karibia atakuwa kichaa sasa.
Tukisema ameachika anakataa.
Hivi kweli mke wa mtu unatoa somo gani hilo?
Kweli MangeKimambi na usomi wako wote badala uwape mabinti maarifa uliyopata darasani unawafunza jinsi ya kutumia nyeti zao wapate maisha?
Hata hivyo hiyo ndio kazi yako,huwezi kuwashauri tofauti na ulichobobea.
 
Haaaa haa ngoja nirudi Celebrity forum..Nifaaaa Mwasu twendeni zetu kile kwenye Uzi wetu Hatudanganyikiii tunayeee mpaka mwisho..let's go back.
 
Polepole

swissme
 
Haaaa haa ngoja nirudi Celebrity forum..Nifaaaa Mwasu twendeni zetu kile kwenye Uzi wetu Hatudanganyikiii tunayeee mpaka mwisho..let's go back.
Twende zetu bwana,huyu bibi hana jipya.
 
Kwa hii serikali ya awamu ya tano atakayefuata ushauri huo lazima ajikute papuchi yake imekuwa written off kabla hata hajatoka kimaisha hahahaha
 
Hivi tatizo ni Mange? Kingereza alichotumia? Au gundu alilonalo? Wengi inaonekana mnapenda Mange na ndio maana mna muda wa kufunguwa account zake huyu ghibirisi.

Niweke wazi kabisa simpendi kabisa Mange hata siku moja lakini ukweli ni kwamba alichoandika ndio ukweli wenyewe labda kama wengi mnasumbuliwa na lugha ya malkia aliyotumia au chuki zetu kwake zinatufanya kushindwa hata kudigest alichoandika.

Ni kweli tupu wanawake wengi wanaitumia miili yao kutimiza malengo yao, hawatoi K bure na wala hawauzi.
 
Back
Top Bottom