Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

john agrey

JF-Expert Member
Jan 24, 2015
1,280
2,079
indexjaydee.jpeg
 
Kwa mujibu wa hiyo barua ya mwanasheria, Gardner alisema hayo maneno kwenye tukio lililoandaliwa na uongozi wa Miss Tanzania. Ni vema Miss Tanzania nao wakaomba msamaha, haiwezakani wanapanga wasichana mbele na kumualika mwanaume kuja kutukana wanawake. Gardner, kama sikosei ana binti, sijui atamwangaliaje usoni kwa matusi aliyotoa kwa Jaydee?
 
Hiyo kesi ikifunguliwa jamaa anashinda mchana kweupe.Sidhani kama ni busara kwa mtu kufungua kesi huku ukitegemea kushinda kesi hiyo kwa kutumia circumstantial evidence.

Kushinda hiyo kesi bila additional evidence ni kazi ya ziada unless ana direct evidence kitu ambacho naona hapo ni kigumu.
 
Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.
 
Mtoto wa kike anaweza kuwa yoyote, na aliyefanya hayo kwa miaka 15 unaweza kupata jawabu alikuwa anamsema nani.
 
Yaani hapo hamna kesi kabisa. Hakuna sehemu yoyote kwenye ile kauli Gadna alitaja jina la mtu. Alitumia neno " yule mtoto wa kike". Sasa Jay dee ni mtoto jamani? Gadna komaa kakangu usiombe msamaha wala nini. Tena kama vipi wafungulie kesi kwa kosa la kukuandikia barua kwenye karatasi isiyo na mistari.
kukojolesha bila mimba? Sidhani Kama alikojoleshwa kweli! Miaka 15 bila mimba ina maana mwanaume ana tatizo
 
Back
Top Bottom