Mohammed alli wa jicho pevu nini nani huyu?

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
May 19, 2016
2,179
5,307
Wakubwa natanguliza shukurani kwenu wote na kuwapa sifa tele kwamba mmekuwa msaada tosha kwa jamii katika mafundisho na hoja zenu humu

Hoja yangu kuhusu huyu mtangazaji na mwandaaji wa makala za jicho pevu bwana Mohammed alli nimekuwa nikishitushwa sana na mazingira ya kazi yake hasa makala kama songobingo la isiolo ya mwaka 2011
Maswali yangu ni kama ifuatavyo wakuu wanajukwaa
1) Mohammed baada yakusomea uandishi wa habari alipa mafunzo gani zaidi?
2) suala la ulizi kwake lipo vipi nadhani ingekuwa hapa angekuwa kama hapa kwetu angekuwa katobolewa macho
NB:cv nimuhimu sana hapa

Naomba kuwasilisha wakuu ninaimani hakuna linaloshindikana hapa JF
 
Back
Top Bottom