Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii Gigy Money amefunguka kuwa kamwe hawezi kumtaja mchumba wake, kwani kumtaja mchumba huyo kutamkosesha wachumba wengine. Gigy Money amethibitisha kuwa bado anataka wachumba wengine japo ana...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Kiuno kama Ray c,pozi kama JD Ndo mana wahenga wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa matokeo yake ndo tunayaona kwa jide ni dhairi kabisa kwamba Gardener alikuwa...
3 Reactions
127 Replies
26K Views
Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
  • Closed
Watu wapekuzi sana...kumbe wimbo wa lady jay Dee ndindi ni wimbo wa watu....https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1200573386629315&id=100000299950223 ==========UKWELI=========
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Msanii wa bongo fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond ameendelea kujizolea tuzo kila pembe ya dunia kwa kazi anayoifanya ya music kupenda na wengi apewa tuzo ya kutambua kazi yake ya mziki leo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Taking gospel music to new heights, after being signed by Sony and being a day away from her album launch (scheduled for 15th of Dec), Rose Muhando has a video to a jam called 'Wololo' which has...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Kutokana na fununu zilizozagaa kuwa kwa sasa Gigy Money anatoka kimapenzi na msanii Matonya ambaye ana mke Gigy amefunguka kuwa kwa sasa anatoka na Matonya pia na sio big deal, japo ana mke...
3 Reactions
88 Replies
17K Views
MSANII wa filamu Bongo, Lucy Komba ambaye amehamishia makazi yake nchini Denmark kwa mumewe , imebainika kuwa kilichomfanya aolewe na mzungu huyo ni kutokana na kufuata masilahi na siyo mapenzi ya...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Haya ndio majibu ya G Habash kupitia mwanasheria wake.
2 Reactions
26 Replies
7K Views
hizi habari zimezagaa if it is true CONGRATULATION MUMY umewakata ulimi wenye kiherehere; i am so proud of you; utakuwa role model kwa wanawake wengi wa kitanzania wanaonyanyasika kwenye ndoa na...
0 Reactions
129 Replies
42K Views
Ni mchezo upi huo? Usemi huu ulianza baada ya EFM kuwapora watangazaji wawili wa Clouds FM, Gerald Hando na Paul James kabla ya wao nao kuporwa mtangazaji wao, Gardiner G Habash. Na sasa movie...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Baada ya msanii wa Bongo fleva Snura Mushi kufunguka kuwa hajawahi na hafikirii kutoka na msanii wa Bongo Fleva Pasha amuumbua. Akizungumza na Enewz Pasha alisema kuwa yeye alishawahi kuwa na...
3 Reactions
15 Replies
6K Views
msanii Belly ametoa video yake inayoitwa Zanzibar. kama kweli BASATA wanafanya kazi kihalali basi hii video haitapigwa Tz ila kama nao wanafungia tu mavideo kupata kiki kwenye media basi waiache.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ile channel maarufu ulimwenguni kwa habari moto moto za wasanii wakubwa Marekani E! kinatarajia kumuonyesha Diamond Platinumz na wasanii wengine wakubwa wa Africa kama Mafikizolo, Wizkid, D'banj...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Diddy is corny tho, he coulda staged it.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naam salama humu? Iko hivi.Mimi ni mfuatiliaji wa entertainment hapa bongo. Ila hili swali nimekuwa nikilikosea jibu lake.Je chanzo nn? Pesa, mziki, umaarufu, au kuna mtu kala za chembe (mtaani...
1 Reactions
48 Replies
9K Views
Video ya Ali Kiba mpya sijaiona ila kwa kweli ni video mbaya mbaya sijapata kuona. Ikitoka kazi yangu itakuwa ni kuikosoa tu.
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Msanii Noorah amefiwa na mkewe kwa ugonjwa wa kifua kilichombana hadi kuwekewa oxygen. Wakati huo huo Noorah mwenyewe anaumwa kichwa yupo kwao Shinganya kwa uangalizi maalum. Rip Shem.
0 Reactions
141 Replies
41K Views
Back
Top Bottom