Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Dah!! nakumbuka enzi za bifu la clouds na mwanamuziki lady jaydee jinsi wafanyakazi wa clouds waliposhiriki ipasavyo kumkandamamiza lady jaydee wazi wazi akiwemo Mtangazaji machachari anayepiga...
2 Reactions
46 Replies
14K Views
Kama kuna director wa video za mziki anayejituma na kufanya kazi nzuri huyu dogo ni namba moja kwa sasa hapa bongo! Huko nyuma walikuwepo Wananchi Video Production, wakaja Visual Lab wakawapoteza...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Wazee wa kodi mpo? Haya, msemo huu pengine mshausikia mahali au sio? Au niulize tu, maneno hayo yamo kwenye wimbo gani? Kama ushaujua basi tuendelee kimya kimya tusiwape faida wasiohusika...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
MTOTO wa Kichaga anayetikisa anga la Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amenyanyua kinywa chake na kusema; “lazima nimzalie Harmonize (Rajabu Abdulhan, staa wa Bongo Fleva), kwa kuwa nimeridhika naye.”...
3 Reactions
65 Replies
9K Views
Vanessa mdee ni msanii pekee wa kike wa Tanzania anaefanya vizuri Africa kwa ujumla, ukichukua wasanii 5 wakike bora africa kwa sasa huwezi muacha vanessa mdee hata nominations mbalimbali za tuzo...
11 Reactions
63 Replies
9K Views
Hivi watanzania mfanyiwe nini??? leo kweli unadiliki kuingia kwenye show ya diamond kwaajili tu yakumrushia chupa na kuzomea.hunashindwa kuwa nashukurani hata kidogo kwa mazuri aliyolitendea...
1 Reactions
33 Replies
6K Views
Msanii wa filamu, Wema Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja. Pia hutumia Sh 30,000 ya chakula kwa siku na kama atanunua na...
3 Reactions
147 Replies
22K Views
Kuna habari mesikia mahali kuwa Kiba ameomba Watanzania wampigie kura Chibu, Baba Tiffah, Nasibu Abduli, Diamond Platinumz, kwenye tuzo Fulani za kimataifa, kwenye Kipindi cha Planet Bongo cha EA...
2 Reactions
98 Replies
13K Views
Muigizaji Wema Sepetu kupitia account yake ya Instagram ameonyesha nia ya kumuombea kura mpnz wke wa zaman Diamond Platimumz kwa kuandika maneno kadha japo hakumtaja kwa jina wala kuweka picha...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Ukinitoa Mimi tu humu na baadhi wawili watatu hatumo kabisa katika huo mkumbo wa " UMBEA " ambao umewakumba members wengi humu juu ya SAKATA zima lililokuwepo hapo kabla. Ni kwamba wiki mbili...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mazungumzo ya kuwapatanisha Birdman na Lil Wayne yamegonga mwamba, imebainika. Wiki hii video ya Wayne akiidiss Cash Money imesambaa mtandaoni. Mazungumzo hayo yalikuwa ni kumaliza madai...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Leo majira ya 13:50 kwenye kipindi cha XXL cha clouds fm.mtangazaji B12 ametangaza kwamba kesho kutakuwa na special day for the late Albert Mangwea. Kilichonishangaza ni je kwa nini wasanii...
7 Reactions
52 Replies
9K Views
Miezi michache tu baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kuripotiwa kutoka na msichana anayejulikana kama Chaga Baby, hivi sasa yupo na mrembo raia wa Ethiopia...
3 Reactions
30 Replies
14K Views
  • Redirect
Wikiendi iliyomalizika, kampuni ya usimamiziinayofanya kazi naye, Rockstar4000 imetangazakuingia naye ubia kwa kuanzisha kilekilichopewa jina ‘Alikiba TV.’ Kwa wengi taarifa hiyo iliyoandikwa kwa...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
UGOMVI NI KWA MASHABIKI TU, ALIKIBA NA DIAMOND NI PEACE AND LOVE
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimepita sehemu nakasikia eti Ali Kiba anaanzisha Tv yake na watu mishipa ikawasimama wakidhani Tv yenyewe itakuwa kama East Africa Tv ama clouds Tv, ukweli ni kwamba Tv ya alikiba haitakuwa...
2 Reactions
Replies
Views
September 2015 ilikuwa hivi Leo April 27 2016 yamekuwa haya
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Nafurahi sanaa kuona wale watu ambao ni wageni kwenye Music wanafanikiwaa!! Ray na Harmonize kwa show wanazopiga sahizi hakika hawatamsahau Diamond,airtime wanayo ipata sahizi hakika hawato msahau...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama mmoja wa watu waliovutiwa na comedy za hawa jamaa niliowataja hapo juu, nimejaribu kutafuta taarifa zaidi za kuwahusu kupitia google na kukuta nachanganyikiwa baada ya kuona sura tofauti na...
2 Reactions
28 Replies
33K Views
Habari, Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movie au mastaa wengi wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba. Jack Wolper nae ametokea kunifanya nimwone ovyo...
13 Reactions
113 Replies
28K Views
Back
Top Bottom