Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

Yani hawa buku za 7 wameishiwa hoja.
Kidogo wanakimbilia USHOGA. Sasa USHOGA mmeambiwa ninyi tu mmekataa mpaka mnawekewa mstari mwekundu?
Tena juzi Kenya wamegongelea na msumali kabisa, wamepitisha sheria ya kuruhusu ndoa za wake wengi, na kukataa ndoa ya jinsia moja. Yaani ushoga kwa kenya ni kosa la jinai, kisheria kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20200201_113029.jpg
Screenshot_20200201_113029.jpg
 
US ni Aibu kupigana au kujibizana na Tz bali ni kupandikiza chuki tuuane sisi wenyewe , Don't be fool you guys ni sawa ukamwadisie Rafiki yako Matatizo ya mumeo / Mkeo atajifanya Mshauri ila akitoka hapo atatangaza Mtaa mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuuane kwa faida ya nani?? Nmeshaeleza wakitaka kutugombanisha hawahitaji kumuua Lissu ila wanatuminya misaada na vikwazo juu mpaka nchi inakua hali tete tunagawanyika na kuingia kwenye machafuko. Yaani huwezi mchonganisha ombaomba wakati ukimnyima mia tu ni adhabu tosha.

Kuhusu Zitto kuomba msaada kwa mabeberu..... Nadhani umeona internal pressure haijazaa matunda kuwaamsha watawala na muda umeisha, ssa Zitto afanyeje?? Kwahiyo afe kisiasa na upinzani ufe kisa tu uzalendo??

Mkuu it's a game of power..... Hata Nyerere alipotaka kupinduliwa aliwaomba msaada mabeberu kutuliza hali, ila Zitto anageuka msaliti!! Mandela naye aliomba msaada kwa mabeberu kuiwekea vikwazo South Africa je naye alikua msaliti??

Let's be real wakuu, Zitto and whoever alietuchongea kwa mabeberu had no choice.
 
Nimeona taarifa kwamba mkuu wetu wa mkoa ni kinara wa kukiuka haki za binadamu

Je C.I.A wamemchimba vya kutosha na wakawasilisha faili lake kwa Trump ? Kwa nini kama kweli wana ushahidi wasimpeleke ICC? Kama wao ni wanaume,tukutane ICC au watoe hati ya kumkamata

Na kama kuna mtu mnamtafuta ila mmeanzia mbali,mseme
Marekani sio mwanachama wa icc hawezi kumshitaki makonda
 
Hilo Jambo linataka kukuzwa bila sababu, hizi Ni tuhuma hakuna mahali Makonda kashitakiwa.

Ni vyema makonda aombe kukutana na balozi wa marekani ili amweleze kosa lake ni Nini, na Kama Kuna tuhuma basi apewe muda azijibu.

Baada ya hapo iundwe time ya pamoja Kati ya marekani na Tanzania ipitie tuhuma zake na suluhisho lake report ipelekwe pande zote mbili kwa utekelezaji

Baadae Makonda aonane na Pompeo amwombe radhi kwa tuhumu za kweli na tuhuma za uongo amweleze kuwa amemsamehe kwani nayeye Ni binadamu.

Hatuhitaji kugangamala Kama albashir, tunahitaji kuwa wanyenyekevu na wadikivu, huo ndio uungwana. Uhuru Kenyatta pamoja na kuwa Ni rais alienda icc na akahudhuria kesi na Sasa Yuko huru.

Pompeo hajawahi onana na makonda Wala hamjui Ni maneno yakuambiwa tu.

Binafsi maovu ya makonda siyajui, najua anahamasisha ujezi wa shule na zahanati. Anaendesha harambee za tiba za moyo kwa watoto. Anapambana na majizi na Wala madawa ya kulevya. Anapambana na uzembe kazini.

Amweleze Pompeo kuwa Hawa wanaompiga Vita Ni wachuuzi wa madawa ya kulevya. Magenge ya wezi maarufu Kama panyaroad. Matapeli ya viwanja na wabadhirifu wa mali za umma.
Sasa Bashite ataongea nini na Pompeo.
 
Watanzania tusitetereke. Hii ni baada ya nchi chini ya uongozi wa magufuli kusimama kidete kutetea haki yake kwenye madini. Nchi za kibeberu wamepatwa hasira na nchi yetu. Kama ni kweli wanajali haki za binadamu na sio maslahi ya kiuchumi wangeanza na mwana wa mfalme wa saudia

Haya ni matumizi mabaya ya Maneno...
Eti haki yake kwenye madini,,,
Giza kabisa.
 
Back
Top Bottom