Zimbabwe Election: Progress & Results

Tulegeze msuli kidogo na haka ka joke, najua tension ni kubwa kwetu sote....

Assuming Queen Elizabeth, Bill Clinton and Rob Mugabe die and all go to hell. But the devil has only one phone there.

Queen says, I miss my England can I use your phone and hear how my
people are doing down there. She calls and talks about five minutes.
Then she asks: Well devil, how much do I owe you for the call? The devil says: Five million dollars. She writes him a cheque and goes back to her chair.

Clinton wants to make a call too. He says I wanna call the US. He talks
about ten minutes, then asks how much do I owe you devil?

The devil says Ten million dollars. He also writes a cheque and goes
back to his seat.

Mugabe is jealous. He says I want to call Zim, He calls and talks for
about an hour ... then he asks the devil how much do I owe you?

The devil replies: only one dollar, Mugabe is shocked and asks 'why so
little?' The devils says: if you make a call from one hell to another,
it's a local call.



Tehe Tehe Tehe Kana-Ka-Nsungu umeua mwee kwi kwi kwi...
 
CCM wanapaswa kujiandaa ki saikolojia kwamba iko siku haya yatawafika na wawe tayari kutawala na kutawaliwa.Kama Zenji wanapna kizunguzungu je Bara itakuwaje ? Maana wana miradi mikubwa , Tanzaniana mambo ya gas , mafuta , urenium .Kweli CCM wanaweza kukubali kushindwa ?
 
Hivi nini kinaendelea hapa...? Maana nshaacha kufuatilia tena...nimesubiri weeeee hadi nimechoka. Hakuna matokeo wala nini....oh wait....Sivyo Tulivyo....my bad
 
Kwa mwendo wa vitisho hivi, hata kama uchaguzi ukirudiwa sina hakika kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki. ZANU PF wameamua kutumia vyombo vya dola ili kuandaa mazingira ya ushindi iwapo mikakati yao ya sasa ya kurudia kuhesabu kura itagonga mwamba.


Zimbabwe election officials arrested

Nation Correspondent in HARARE

Zimbabwean police have arrested several employees of the country’s electoral body accusing them of fixing last month’s elections in favour of the opposition as the anxious wait for the results of the presidential elections entered its second week.

Investigations have revealed that a number of Zimbabwe Electoral Commission (ZEC) polling officers have either been arrested or taken in for questioning since the ruling Zanu PF demanded a recount of the votes in 16 parliamentary constituencies last week.

Zanu PF lost control of the country’s parliament for the first time since independence during the 29 March polls but results of the presidential vote still remain unknown.

According to unofficial results from independent election monitors, President Robert Mugabe lost the election to his long time rival Morgan Tsvangirai of the opposition Movement for Democratic Change (MDC).

The MDC says its leader won 50.3 per cent of the vote against Mr Mugabe’s 42, 8 making Mr Tsvangirai the country’s next automatic leader.

But Zanu PF said it had evidence that Mr Mugabe had been cheated in some constituency and wants a recount.

On Monday, the High Court was expected to make a ruling on an application by the MDC seeking to compel the Zimbabwe Electoral Commission (ZEC) to release the results.

However, Zanu PF is insisting that it wants to challenge the results before they are made public because it believes some ZEC officials were bribed by the MDC to tweak with the votes.

It has since emerged that since last week police have been quietly swooping on civil servants who were temporarily employed by ZEC to supervise the elections on allegations of fraud.

In the southern Zimbabwe district of Binga, four elections officers were in police custody facing ‘electoral fraud charges.’ On Friday, armed detectives raided ZEC offices in the town of Masvingo.

The state media also reported that a chief elections officer had been arrested in the Midlands province but the case has been given scant publicity as anxiety continues to grip Zimbabweans amid the curious delays.

Police spokesman Superintendent Oliver Mandipaka also confirmed the arrest of a police officer attached to the ZEC during the elections on allegations that he violated the Police Act.

Repeated recounts

He allegedly questioned why some ZEC officials ordered repeated recounts of the votes at a polling station where Mr Mugabe had been beaten by Mr Tsvangirai.

“He conducted himself in a manner that contravened the Police Act,” Supt Mandipaka said. “We warn other officers to desist from engaging in political activities.”

The opposition accuses Mr Mugabe of ordering the ZEC to delay the issuing of the results so that he can get time to plot his next move after the apparent defeat.

Last week, the ruling party said it was preparing for a second round of voting because its own projections indicated that none of the candidates will win an outright majority as required by the country’s electoral laws before a president is sworn into office.

There were also reports of fresh farm invasions led by veterans of Zimbabwe’s liberation war who accuse the remaining white farmers of celebrating Mr Tsvangirai anticipated victory.

A runoff must be held within 21 days and the MDC has said it will only participate under protest because it is certain that it won the election.

Mr Mugabe was quoted by the state media today urging Zimbabweans to defend the land from an invasion by the former white farmers.

Meanwhile, in London, British Prime Minister Gordon Brown called today for “proper international monitoring” if there is a runoff of Zimbabwe’s presidential election, adds Reuters.

If a second round of elections is held, “it’s very important that there is proper international monitoring,” Brown told a news conference.

“I believe there is a united will of the international community that elections have got to be seen to be fair, election results have got to be published, elections have got to be properly monitored,” he said.

During the first round, Zimbabwe banned monitors from Western countries, such as Britain, that are critical of Mugabe.

Mr Brown held two hours of talks with South African President Thabo Mbeki on Sunday and said he was also in touch with other African leaders on Zimbabwe.

British officials declined to give details of the talks with Mbeki, who has previously mediated in Zimbabwe’s political crisis and has been accused by critics of being soft on Mugabe. Tsvangirai flew to South Africa today for talks, aides said.

Daily Nation
 
Hiyo call ya devil inachekesha sana duh!... yaani wananchi wa Zimbawe wako motoni au sio na umaskini wao wote!..Ama kweli Mungu hayupo.
Huko alikokomalia Devil mwenyewe ndio ndio pepo au sio!... well it's just a joke!
 
Kitila Mkumbo,
Unawasifia viongozi wa MDC kwa kipi haswa?...kwani wao ndio wameshikilia Jeshi ama kura.. Mugabe anapiga mahesabu na ndiye mwenye dume hadi sasa hivi, dunia nzima wanamsikiliza yeye na utawala wake hao MDC wanasubiri majibu yasiyokuwa na demokrasia...Demokrasia ina sheria moja kubwa sana nayo inasema asiyekubali kushindwa sii mshindani!.. Mugabe kashindwa hakukubali na hawa MDC wanasubiri uamuzi wa refa, wananchi wanazidi kuchoka!...Kinafanyika kitu gani?..

Swala la kuingia mitaani sio solution hata kidogo kwani ni uamuzi wa kuuana kama alivyofanya Raila kimakosa wakachoma makanisa na kuua wanawake na watoto..
MDC hawana bao mkuu utakuja nambia hata court kuu haiwezi kupindua kwa Mugabe na wapiganaji wake wenye machungu na Kaburu tena basi nitakwambia kwamba hawa wanasheria wakuu ni matunda ya ZANU - PF wanajua walikotoka!..
Wananchi wako tired na Mugabe lakini Morgan sio wao pia haiwezekani Morgan apate asilimia 50.3 na kuita ushindi kama kweli uchaguzi huu ulikuwa halali...inaonyesha mwenyewe hana uhakika wa ushindi mkubwa wa kimbunga!
 
Zimbabwe cop: Bosses 'told us to vote for Mugabe'

April 9, 2008 -- Updated 1628 GMT (0028 HKT)

Afraid to lose their jobs in a country with nearly 80 percent unemployment, Zimbabwe police officers voted for President Robert Mugabe under the watchful eyes of their bosses, one of those officers told a reporter.


President Robert Mugabe of Zimbabwe speaks at a campaign rally in March.

"Mugabe is our employer, so if you don't want to vote for Mugabe, then fill in the resignation letter so that you can leave the police force," said the police officer, who wanted to be identified only as "William."

When William and his fellow police officers cast their ballots March 29, he said, his bosses not only looked on but "actually told us to vote for Mugabe."

It is very rare and extremely dangerous for a member of Zimbabwe's police force to speak to the media. William, a police officer in his 30s, spoke to a reporter -- who also remains unnamed for security reasons -- in the back of a car in a remote area of the city where he works.

William's account was denied by Zimbabwean police spokesman Wayne Bvudzinjena, who told CNN that voting is a very confidential and involved process. He said it would not be possible for anyone to pressure another into voting for a particular candidate.

But William's story gives an indication of the financial pressures on many Zimbabweans to keep the current government in power, despite the fact that Mugabe and his regime are widely blamed for the country's economic freefall.

William, a father of two, said even the police are not spared from the country's hardships.

"I joined the force sometime in the early '90s, and then we had so many police vehicles," William said. "Now we have nothing."

He said police sometimes have to walk more than 15 miles (25 km) to investigate a crime scene. Then, they must head to a store to buy their own paper to fill out standard reports -- if they can find any paper on the barren shelves of Zimbabwe's shops.

"I'm telling you, police officers are tired. They are tired of this government," he said.

Zimbabwean police have a bad reputation in the southern African country as brutes who use a heavy-handed approach to enforce the policies of the Mugabe regime.

They have been seen moving to the head of food lines, and beating female protesters demonstrating against the economic situation in their country. But some members of Women of Zimbabwe Arise have said that they've seen police returning after the protest to help the women that they have just bloodied, offering towels and comfort.

"That's true," William said. "We at times go behind our bosses."

He said they are forced to violently enforce their bosses' orders or risk losing their jobs.

"We know that it is unlawful," he said. "They have the right to demonstrate, to do whatever, so long as they are not violating the laws of the country."

William said he and many of his colleagues had high hopes for this year's election, which presents the most formidable challenge to Mugabe's 28-year grip on power.

But instead of voting freely at a polling station, William said he sat under a tree along with his colleagues and cast a ballot that had been given to him by his commander. The ballot, he said, represented a district he did not even live in.

"The officer (of the) commanding district [was] acting like a teacher, telling you where to cast your vote," he said. "Can that be called a vote?"

----------------------------------

James Watson was right! Viongozi wa Afrika wanaupungufu wa akili
 
kuna mengi yanayoendelea

inasubiriwa mahakama kusikiliza na kutoa uamuzi kuhusu kutangazwa matokeo

zambia yataka wanachama wa sadc wakutane kuzungumzia suala hilo

changrai anatembelea nchi jirani kusukuma juhudi za kutangazwa matokeo.

mataifa kama uingereza na ufaransa na mengineo yanataka matokeo yanatangazwe

umoja wa mataifa kupitia katibu wake wamesikitishwa na hali ya kutotangazwa matokeo na kutaka matangazo yatangazwe haraka.

mzee mugabe na chama chake hawataki matokeo wakidai kuwa kuna wizi umefanyika

hayo ndio yanaoendelea kwa ufupi


ila kinachonifurahisha ni jinsi gani wananchi wa zimbabwe wanavyotatua tatizo hilo kwa utulivu na amani ya hali ya juu inaonyesha wanajua zimbabwe ni bora kuliko chochote na kufnaya fujo si kuisaidia zimbabwe.

huenda muda ukapita ila mwisho ukweli utajulikana na mshindi atajulikana na mambo yatarudi ktk hali ya kawaida
 
Kama walivyouliza wakina Morgan, tunangoja kweli hadi damu imwagike Harare? Viongozi wetu wanakosa credibility kabisa kwa ukimya wao. Yalitokea Rwanda, yakatokea Kenya na leo tunaangalia huko Zimbabwe! Heri Zuma aliyejitahidi kusema kweli.
 
yaaani kumbe bado tuu tunasubiri matokeo? this is beyond stoo-pit,na upuuzi wote huu wa wizi wazi wazi wa demokrasi na 100,000% inflation bado kuna watu wana support huyu mwendawazimu,yaani nchi nzima sasa wanaonekana nao vichaa tuu maana hata supreme court yao haiwezi kusimama na kutoa haki?
 
Ndo huu upuuzi wa the so called international community. Wanasubiri watu wafe na wengine waanze kukimbia ndo walete misaada kusaidia wakimbizi! This is so low.. I have seen. Yaani Sometime nikifikiria usemi wa Nyani, nafika point tuu inabidi nikubali-NDIVYO TULIVYO! We ona Kenya..thousands have died, others still languish in IDPs camps..but the powers would be..ndo hivyo hawataki kufanya compromise for the good of people..Mpaka WAFOKEWE NA CONDOLEEZA RICE!!! Ohh my God!!!sometime I wonder what is leadership and for who?-especially in Africa..IN Zimbabwe haiwezekani watu mpige kura harafu kutangaza matokeo mpaka mwende mahakamani! Yaani this is only in Africa!


Its sucks really-big time!
 
Kesi ya nyani anampelekea tumbili

what a loser,

Kiongozi wa kikuu chama cha upinzani nchini Zimbabwe(MDC) Morgan Tsvangirai
Pichani,anatarajia kutua jijini Dar es salaam muda wowote kuanzia sasa kwa kile kinachoelezwa kuja kuleta malalamiko kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa Umoja wa Africa(AU) juu ya hali ya kisiasa nchini zimbambwe baada ya uchaguzi mkuu uliyofanyika nchini humo
hivi karibu ambapo chama cha (MDC) kuibuka na ushindi mkubwa kwa upande wa viti vya wabunge na kusababisha Rais Rober Mugabe kutia ngumu kutoa matokeo ya kiti cha uraisi mpaka sasa..

http://haki-hakingowi.blogspot.com/

Keshakula pesa za waingereza na bado Mugabe Rais, na mbaya zaidi Mugabe keshamfitinisha na waafrica sasa MT anaonekana ni kibaraka cha WAZUNGU


patamu hapo...
 
Ahahahahahahaha.....hihihihihiiiii...bwahahahaaaaaaaa.....kumbe bado hawajajua tu nani aliyeshinda....bwahahahahahaaaaa.....Miafrika bana...ndivyo ilivyo!!!!
 
Let him use every weapon available. JK anasema yeye ni moderate kuliko Mkapa, ndio tutaona sasa. So far Morgan ameonyesha leadership ya hali ya juu kiasi kwamba, nasikia, hata akina Mugabe hawaamini. Morgan ametupa shule kali sana sisi tuliopo opposition on how to handle these power monger politiburos in Africa.
 
Suala la Zimbabwe ni gumu sana,Mie namsupport Mugabe,hawa wakina Morgan ni vibaraka wa mataifa ya Magharibi na mie sipendi mambo ya kutawaliwa na mawazo ya wazungu.aje Mwingineila sio Morgan.na nina uhakika Mugabe hata kwa dawa hatakubaliana na hili suala la kumuachia huyu Mkoloni.
 
Suala la Zimbabwe ni gumu sana,Mie namsupport Mugabe,hawa wakina Morgan ni vibaraka wa mataifa ya Magharibi na mie sipendi mambo ya kutawaliwa na mawazo ya wazungu.aje Mwingineila sio Morgan.na nina uhakika Mugabe hata kwa dawa hatakubaliana na hili suala la kumuachia huyu Mkoloni.

Gembe na CCM yenu bwana .Morgan anaitwa Kibaraka ? Hivi halisi ya Zimb hamuioni ?
 
Suala la Zimbabwe ni gumu sana,Mie namsupport Mugabe,hawa wakina Morgan ni vibaraka wa mataifa ya Magharibi na mie sipendi mambo ya kutawaliwa na mawazo ya wazungu.aje Mwingineila sio Morgan.na nina uhakika Mugabe hata kwa dawa hatakubaliana na hili suala la kumuachia huyu Mkoloni.

Umesahau kuwa Mkoloni hapa ni Mugabe aliyewaacha wazungu kwa miaka 20 ya utawala kabla ya kuwabangusilo alivyoona utawala wake umekosa mwelekeo.

Mtu anayefanya raia milioni 5 wa nchi yake (karibu theluthi moja ya population za Zim) kukimbia nchi kwa njaa na shida ni hatari kama vile wakoloni! Grrrrrrrr
 
MT sasa keshafitinishwa na waafrka

maana tuseme kesho Mugabe anaondoka sitoshangaa Bongo wakaamua kufunga ubalozi harare kwa kisingizio eti MOFA wanabana bajeti

MT akubali tuu kuwa BOB haondoki leo wala kesho, na mbaya zaidi ISRAEL kwa sasa ndio wametake control security apparatus ya ZIMBABWE

fitna tupu unaambiwa huko Zim
 
Back
Top Bottom