Nadhani Kuna laana ya mababu/mizimu ya kiafrika inaitesa ngozi nyeusi

Los santos

JF-Expert Member
Jan 14, 2021
961
2,037
Kwa Africa ukiwatoa Algeria , Morroco,Tunisia etc ambao Wanajitaidi kwenye ustaarabu na kujitambua waafrika wanaobaki hasa ngozi nyeusi nadhani Wana Ujinga na upumbavu wa milele.

Waafrika tangu tupate uhuru excuse ni Ukoloni + utumwa kwamba ndio ime turudisha nyuma.Haya leo hii, nchi nyingi za Afrika zina miaka karibu 60 ya uhuru wa kujitawala na kujiongoza zenyewe lakini kila mara kuomba mikopo na misaada ,watu wanarogana kisa tu kuoneana wivu maofisini

Ukienda Haiti au Dominique republic kule Central America wanaishi maisha ya kipumbavu sana uhuni mwingi, umalaya uliopindukia ,ujambazi na uhalifu.Slavery ili isha kitambo sana tokea Karne ya 18 ila hadi leo Kuna mataifa kama Ghana wanataka walipwe fidia ya slavery wakidai ni sababu ya umasikini wao ,Africa ukoloni uliisha zaidi ya miaka 60 imepita lakini mpaka Leo vyoo mashuleni ni shida , kusimamia miradi kama mwendo kasi shida ,umeme shida ,maji safi shida, bado kipindupindu kinawatesa watu, masoko makubwa ni machafu kupindukia, mikataba ya kipuuzi Kila kukicha ,vitambulisho tu kama vya NIDA ni shida etc Yaani Waafrika na watu weusi ni kama kuna laana ya alafu sidhani

Angalia nchi kama Singapore, UAE, Qatar, China, Japan n.k zote zilitawaliwa na Wakoloni lakini leo hii zina maendeleo na karibu kuwazidi nchi za ulaya & hapa sijagusia sekta ya kilimo na ardhi ya rutuba tuliyonayo Africa lakini Cha kustaajabu mwenyekiti wa AU akaenda kuomba msaada wa chakula EU/umoja wa ulaya

Sasa najiuliza kwanini ngozi nyeupe wako tofauti na sisi Kuna Siri gani aisee ? Kwanini haya mambo yasiwe ulaya au Marekani? haya mambo ndo yanafanya tuzidi kudharauliwa na kuitwa majina ya ajabu

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
.
1315528871.jpg
 
Kikubwa nikutombana na mkono kwenda kinywani baas ukisubiria kufa.

Kama waafrika tumeshindwa wakati huu tutashinda na kuibuka kidedea baada ya kifo.
 
Kwa kifupi tu jibu ni DINI za kuletewa, hakuna zaidi ya hapa. DINI ufanya watu wasiishi maisha ya uhalisia na kuwa wajinga wa kutupwa na ndiyo maana siku zote serikali inawahimiza vibaraka wao (viongozi wa dini) kuwachanganya waumini wao akili ili waendelee kuwa wajinga.
 
Tanzania imezungukwa na miti ila shule za vijijini madarasa yapo chini ya kiwango na hakuna hata madawati yaani hatuwezi kutoa mbao za mafinga/Tabora zikaenda kurekebisha mkoa ambao hauna mbao tutakachoweza ni kuzitoa hizo mbao Tabora na kuzipeleka Kenya harafu mnasema tumelaaniwa ni Ujinga tu huo hakuna laana hapo..
 
Hii nchi pia imejaza watu wabaguzi na wenye chuki , kama unafuatilia mashindano ya AFCON nadhani unajionea ni jinsi gani katika mitandao mbali mbali, waarabu wanabaguliwa vibaya sana, unakuta mtu anacomment ujinga mara NAFURAHI KUONA WAARABU WAKIWA NA HUZUNI, WAARABU SIWAPENDII, VILIO VIMETAWALA FURAHA YANGU MWARABU KATOKA, AFCON YA MWAKA HUU NZURI MWARABU ASITEGEMEE KUCHUKUA KOMBE n.k

Ni upumbavu mtupu, unakuta mtu anaijua dini vizuri, lakini kumbe ana mambo ya ajabu yasiyompendeza Mungu. Sasa mtu huyu atapata wapi ustaarabu! Waarabu wametuacha mbali sana.
 
Back
Top Bottom