Zimbabwe Election: Progress & Results

Zimbabwe Election: Progress & Results

..mugabe..oops!..zanu-pf walifanya makosa pale walipojiridhia kwamba mugabe agombee!walipaswa kutambua kwamba hauziki na kumshauri accordingly.

..tatizo ni kuwa mugabe kwasasa hauziki hata ukim-recondition vipi. watu husahau kwamba hamna marefu yasiyo na ncha!.wananchi wamechoka kutaabika kila siku,mwezi hadi mwaka bila sababu ya msingi,eti kisa mugabe amekingiana kifua na nchi za magharibi!

..awali nilidhani uchaguzi huu angepita kwa shida na kwamba angekuwa on his way out. naona wananchi wa zimbabwe knows better!

..he must leave with the little grace that remains,ama sivyo ataondoka vibaya!

..its only a matter of time!

Kausemi kako katamu ila nashangaa inapokuja kwa CC watu wanakasahau na kutokukaona kana ukweli. Next itakuwa CCM.
 
Tanzania tusipokuwa makini, uchaguzi mkuu ujao nasi tutakuwa ktk matatizo ya kisiasa. Kuna kila dalili ya hayo kutokea kwa wenzetu wa Zenj. CCM (Zenj) inatakiwa kuacha KIBURI chake kisicho na maana. Watatutia doa wa-Tanzania
 
Tusimdharau kiasi hicho, Mugabe anaweza kuwa MGUMU zaidi kuliko hata Kibaki. Mugabe anaungwa mkono na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yake. Amewagawia mashamba aliyoyachukua toka kwa wazungu. Hili litampa Morgani kazi ngumu sana ya kuyarudisha mashamba hayo kwa wazungu
 
..issue ya ccm ni tafauti,ila fate itakuwa moja tu!kama isipojisafisha na kuokoka!

Hivi unafikiri Mugabe naye alikuwa hajui kwamba kuna suala la kujisafisha.Tatizo wanapokuwa madarakani wanajawa na Dharau,Kiburi na Jeuri na ndicho kinawafanya wanakuwa na upofu wa busara.CCM imeoza, haingii akilini kati ya wajumbe wote waliokaa Butiama walishindwa kisimama kidete ndani ya mkutano na kumwambia ukweli M/kiti kuhusu mambo yanayokwenda hivi sasa,RICHMOND, EPA,TWIN TOWER,IPTL,MIKATABA MBALIMBALI MICHAFU.Wote kimya.

Tusimdharau kiasi hicho, Mugabe anaweza kuwa MGUMU zaidi kuliko hata Kibaki. Mugabe anaungwa mkono na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yake. Amewagawia mashamba aliyoyachukua toka kwa wazungu. Hili litampa Morgani kazi ngumu sana ya kuyarudisha mashamba hayo kwa wazungu

Unajua some times inakuwa vigumu kung'ang'ania madarakani kama kweli asilimia kubwa ya wananchi hawakutaki, hata kama unajeshi.Watakapoamua sasa basi hata ufanyeje utaondoka tu.
 
Zimbabwe's MDC court bid blocked

Armed police in Zimbabwe have prevented lawyers from the opposition MDC from entering a court to file a petition on the country's presidential elections. The MDC wants the High Court to force electoral officials to release the result of the poll, held a week ago.

The party believes its leader Morgan Tsvangirai won the ballot.
His opponent President Robert Mugabe's Zanu-PF party has said it will back him if a run-off is called. MDC (Movement for Democratic Change) spokesman Alec Muchadehama told AFP news agency the party was doing "everything in our powers" to have its petition heard on Saturday at Harare High Court. The MDC has also called for international help to prevent possible violence if a second round is held.

But speaking in the UK, South African President Thabo Mbeki said that now was not the time to interfere, and the international community should wait to find out the outcome of the election.

Jamani oneni haki inavyofanywa na ZANU-PF, hata Mbeki hajui matokeo yatatoka lini (Lakini bado anamtetea Mugabe). Welcome to Zimbabwe style democracy. Sasa JK ndiye head wa AU Je, anasemaje?
 
Tusimdharau kiasi hicho, Mugabe anaweza kuwa MGUMU zaidi kuliko hata Kibaki. Mugabe anaungwa mkono na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yake. Amewagawia mashamba aliyoyachukua toka kwa wazungu. Hili litampa Morgani kazi ngumu sana ya kuyarudisha mashamba hayo kwa wazungu

..so your point is,hataondoka simply kwasababu hivyo vyombo[infact some of the leaders wa hivyo vyombo]viko nyuma yake?this time sanctions zitakuwa ngumu zaidi na baadhi yake zitatokea nchi za afrika!

..hao wataondoka wote!tena vibaya! its a matter of time!

..hayo ni mapinduzi ya wananchi!
 
Tanzania tusipokuwa makini, uchaguzi mkuu ujao nasi tutakuwa ktk matatizo ya kisiasa. Kuna kila dalili ya hayo kutokea kwa wenzetu wa Zenj. CCM (Zenj) inatakiwa kuacha KIBURI chake kisicho na maana. Watatutia doa wa-Tanzania

..mwenzio akinyolewa,chako tia maji!
 
ZANU-PF ilijengwa kwa msingi sawa na ule uloijenga CCM (kuunda wakoloni waafrika) kwa hiyo wakuu swala la kufikiria kuwa mnaweza kuwaangusha kirahisi ondoeni akilini!...
Yaani nasubiri kwa hamu kuona kama sisi tunaweza fanya tofauti maanake nguvu ya dola wakuu wangu ni Ufalme kwa hiyo sijui!..
Ni ukweli unaouma lakini hakuna njia kwa tawala kama hizi za Kiafrika kuanguka isipokuwa labda muingie msituni!.. .
 
"I am calling on President Mugabe to begin a dialogue with me, to begin the process of a peaceful, orderly and democratic transition,"

"In making this call, I believe it is in the interests of the people and the future of this country not to create conditions of anxiety and instability.

"I want to say to President Robert Mugabe: 'Please rest your mind, the new Zimbabwe guarantees your safety.'"


Morgan Tsvangirai
MDC Leader

Source: bbc.co.uk
 
"I am calling on President Mugabe to begin a dialogue with me, to begin the process of a peaceful, orderly and democratic transition,"

"In making this call, I believe it is in the interests of the people and the future of this country not to create conditions of anxiety and instability.

"I want to say to President Robert Mugabe: 'Please rest your mind, the new Zimbabwe guarantees your safety.'"


Morgan Tsvangirai
MDC Leader

Source: bbc.co.uk

I see, Tsvangirai is a great man. Hana papara hana hasira, mvumilivu sana. Tatizo anapambana na 'chizi' hivyo ni vigumu sana kwa Mugabe kumsikiliza hayo anayo yasema.

Mimi nimeshtushwa na Thabo Mbeki, eti anasema wafanye uchaguzi wa marudio na hakuna haja ya Internation pressure kwasasa. Nimeshtuka kwasababu A. Kusini, iliwaondoa makaburu madarakani kwa kura je makaburu wangelifanya kama anavyofanya Mugabe. This is bull shit.
 
Bila shaka Wazimbabwe wameanza kuchoka, duu Rais anaambiwa haya.

MUGABE YOU SWINE! YOU FILTHY LITTLE MAGGOT. WHAT IS THAT TRIPE YOU CALL AN OPINION? WHAT IS THAT SCROFULOUS LITTLE TUMOUR YOU CALL A BRAIN? DON'T YOU KNOW THAT YOU ARE PATHETIC? YOU WORTHLESS BAG OF FILTH, YOU WAD OF PUS. YOU'RE A CANKER, A SORE THAT WON'T GO AWAY. I WOULD RATHER KISS A PIG THAN BE SEEN WITH YOU. YOU DEMENTED BASTARD THOSE KIDS YOU THINK YOU SIRED ARE NOT EVEN YOURS. YOU'RE A PUTRESCENT MESS, A WALKING VOMIT. YOU ARE A SPINELESS LITTLE WORM DESERVING OF NOTHING BUT THE PROFOUNDEST CONTEMPT. YOU ARE A JERK, A CAD, A WEASEL. YOUR LIFE IS A MONUMENT TO STUPIDITY. YOU ARE A STENCH, A REVULSION, A BIG SUCK ON A SOUR LEMON. I WILL NEVER GET OVER THE EMBARRASSMENT OF BELONGING TO THE SAME ZANU PF PARTY AS YOU. YOU ARE A MONSTER, AN OGRE. I BARF AT THE VERY THOUGHT OF YOU. YOU HAVE ALL THE APPEAL OF A PAPER CUT. LEPERS AVOID YOU. YOU ARE VILE, WORTHLESS, LESS THAN NOTHING. YOU ARE A WEED, A FUNGUS, THE DREGS OF THIS EARTH; AND DID I MENTION THAT YOU SMELL? YOU ARE WEARY, STALE, FLAT AND UNPROFITABLE. YOU'RE GRIMY, SQUALID, NASTY AND PROFANE. I HAVE EXCRETED BETTER THINGS THAN YOU. YOU ARE FOUL AND DISGUSTING. YOU'RE A FOOL, AN IGNORAMUS. MONKEYS LOOK DOWN ON YOU. YOU ARE A WASTE OF FLESH. YOU HAVE NO RHYTHM. YOU ARE RIDICULOUS AND OBNOXIOUS. I WOULD RATHER BATHE WITH HITLER THAN SPEAK TO YOU. YOU ARE THE MORAL EQUIVALENT OF A LEECH. YOU ARE A LIVING EMPTINESS, A MEANINGLESS VOID. YOU ARE SOUR AND SENILE. YOU ARE A DISEASE. ON A GOOD DAY YOU'RE A HALF-WIT. YOU REMIND ME OF DROOL. YOU ARE DEFICIENT IN ALL THAT LENDS TO CHARACTER. YOU HAVE THE PERSONALITY OF WALLPAPER. YOU ARE DANK AND FILTHY. YOU ARE ASININE AND BENIGHTED. YOU ARE THE SOURCE OF ALL UNPLEASANTNESS. YOU SPREAD MISERY AND SORROW WHEREVER YOU
GO. YOU ARE A FIEND AND A COWARD AND YOU HAVE BAD BREATH. YOU ARE DEGENERATE, NOXIOUS AND DEPRAVED. I FEEL DEBASED JUST BECAUSE I KNOW YOU EXIST. I DESPISE EVERYTHING ABOUT YOU, AND I WISH YOU WOULD GO AWAY.
Posted By Kevin "Goodbye Mugabe" Mazadza , London UK : Apr 3 2008 11:49 PM

Source. Zimbabwe daily news (zimdaily.com)
 
Licha ya kushindwa katika uchaguzi, ambao matokeo hayajatangazwa kwa zaidi ya wiki sasa, Mugambe ameamua kutengeneza noti ya shillingi za Zimbabwe Millioni 50 (Zs. 50M). Hiyo ni noti ya kwanza ya aina yake duniani, hakuna nchi yenye noti ya dhamani kubwa kama hiyo. Hata hivyo noti hiyo inauwezo wa kununua mkate tu.

The new note, to be issued by the Reserve Bank of Zimbabwe, can only buy two loaves of bread.

The RBZ says the note was introduced to help the transacting public who were getting inconvenienced with carrying huge amounts of worthless notes.

The distinct purple note has a security thread, a Zimbabwe bird water mark with an RBZ highlight on it.

The bills, called bearer cheques, were introduced in 2003 as a temporary expedient but has remained in circulation ever since, with a higher denomination note introduced regularly.

The last highest denomination note, the Z$10 million bearer cheque, was introduced in January.

The Z$50 million note is set to fuel inflation. Food and fuel shortages have become common as the government relies more heavily on imports, pushing prices to new heights.

ZimDaily understands that the new bearer cheque was designed by Germany company, Gieseck & Devrient, which has been helping Zimbabwe in sanctions busting by delivering Z$170 trillion worth of bearer cheques weekly. The RBZ is paying this company US$500,000 every week for this service.

The official annual rate of inflation in Zimbabwe is more than 100,530 percent.

In practice, this means the price of a loaf of bread costs 1,000 times more in cash than it did a year ago.

The new note is worth US$1 at the illegal but widely used black market exchange rate.

Source> Zimbabwe daily news (www.zimdaily.com/news).

Hivi ndiyo vituko vya viongozi wa Afrika.
 
Opposition braced for dirty war as Mugabe clings on to power


The beleaguered president has been accused of mobilising militias to settle Zimbabwe's election the hard way


R W Johnson in Harare said:

ZIMBABWE was bracing itself yesterday for the possibility that President Robert Mugabe, forced into an expected election runoff against his opposition challenger Morgan Tsvangirai, could mobilise an army of thugs to beat, intimidate and terrify voters, while taking emergency powers to vary the electoral regulations so as to make ballot-stuffing easier. Both Britain and the United States are exercising strong diplomatic pressure on Mugabe not to follow this route. But some diplomatic observers believe that it may be the ageing despot's only way of keeping his vow to die in State House.

Mugabe's deputy information minister, Bright Matonga, who claimed last week that the president's Zanu-PF party had let him down in the first round of voting, predicted a resounding victory in the second, saying: "We only applied 25% of our energy in the first round. That [the runoff] is when we are going to unleash the other 75%." What will be unleashed, according to leaders of the opposition Movement for Democratic Change (MDC), are war veterans, pro-government militia and the security forces in a display of brute force aimed at enabling Mugabe, 84, to cling to power.

Tsvangirai, the MDC leader, who warned that Mugabe was about to launch a "war against the people" said his party was reluctant to take part in any runoff because of the growing risks of violence. In any case, he argued, there was no need for one because he had won last weekend's presidential election outright and was already forming a new government. He called Mugabe a lame duck president who "must concede to allow us to move on with the business of rebuilding and reconstructing the country".
According to the MDC, Tsvangirai secured 50.3% of the vote, enough to be named president. It is understood that Mugabe's politburo was briefed on Friday that Tsvangirai had won 47.7%, compared with 43.4% for Mugabe and the remainder for Simba Makoni, a former finance minister expelled by Zanu-PF. If confirmed, this result would require a runoff. The official tally has yet to be declared and when MDC lawyers went to the High Court yesterday in an attempt to force an announcement, their way into the building was blocked by police from Mugabe's office over the road. One of the lawyers, Alec Muchadehama, said the police had threatened to shoot them. The case was eventually postponed until today.

The longer the delay in announcing the presidential election result, opposition activists say, the more time Mugabe will have to mobilise his forces. Reports yesterday suggested that attempts to intimidate the opposition could already be under way. According to one African news agency, Zimbabwean soldiers beat supporters of the MDC in some parts of the country to punish them for "premature" election victory celebrations. At least 17 people were said to have been beaten so badly that they had to be taken to hospital. The war veterans - 1,000 of whom marched through Harare in silence on Friday - accused the MDC of defying the law by putting out results before the official electoral commission was ready. The tactics were "a provocation against freedom fighters", said the veterans.

They vowed to repel any attempt by white farmers ousted since 2000 to repossess land which is now held by black Zimbabweans. "The election has been seen as a way to reopen the invasion of our people by whites," said Jabulani Sibanda, their leader. "We cannot just sit back when there are all these provocations." Zanu-PF's youth brigades, known as "green bombers" because of their military style of clothing, were said to be ready to return to action alongside the veterans, evoking memories of the pounding of opposition supporters – some of whom had their homes burnt down - in past campaigns. Yesterday's events followed a week of claim and counterclaim about Mugabe's intentions. At one point it was reported that he was negotiating a dignified exit and yesterday there were suggestions that his wife Grace was demanding that he resign to protect the interests of their children.

There was no corroboration of these reports. The Sunday Times has learnt the inside story of what happened last Sunday, the day after the poll. By Sunday afternoon the theoretically independent Zimbabwe Electoral Commission, the body under Justice George Chiurshe which is charged with conducting the elections, communicated its initial estimates of the result to the Zanu-PF politburo: Tsvangirai 58%, Robert Mugabe 27% and Makoni 15%. These estimates were based on too narrow an urban sample and were too favourable to Tsvangirai and his MDC, but the message was clear: Mugabe had lost. The politburo, particularly Mugabe himself, hit the roof.

According to an account sourced to a commission official, Mugabe then ordered it to declare him elected with 53%. He was angry at Makoni's "treachery" and demanded that his vote be reduced to 5%. This produced resistance from the commission and also from the army, police and intelligence chiefs. The commission objected that manipulation of the results on such a huge scale would be too obvious, while the security chiefs were concerned that the country might become ungovernable if the popular will was so blatantly flouted.

At this stage Thabo Mbeki, South Africa's president, took a hand - he was continuously on the phone from Pretoria and had his emissaries in Harare. Mbeki's overweening interest is to maintain Zanu-PF in power as a sister liberation movement of his own African National Congress. He fears a possible domino effect throughout southern Africa if a movement that had wrested power from the whites in a liberation war is seen to fail and perhaps then fall to bits. However, Mbeki wants Mugabe to go. Instead, he would like Makoni to succeed - a younger, modernising technocrat who would, he hopes, restore both his party's and his country's fortunes. Out of Mbeki's discussions came the notion that the results should be "adjusted" so that Tsvangirai was brought back under the 50% mark, perhaps to 47%-49%, while Mugabe could get 41% and Makoni 10%-12%.

With no candidate over 50% this would produce the necessity of a second-round runoff and Mugabe should then withdraw, leaving Zanu-PF to rally behind Makoni. Provided the security forces could be given a strong role in the way that the runoff was organised and conducted, Makoni could then be given just over 50% and Tsvangirai kept out. As word spread into the South African media that Mbeki had been heavily engaged, his office quickly denied that he had been involved at all. By the end of the week Mbeki was publicly appealing for all sides to respect the vote, whatever it had been.

At a conference on progressive governance convened by Gordon Brown in Hertfordshire yesterday, Mbeki told the international community to wait for the full election results, saying it was not time for action. "No, it's time to wait," he said. The proposal stitched together by Mbeki might have worked, provided the armed forces were willing to give Makoni some fairly muscular support. "We were saved from this outcome," an MDC source said, "by our most reliable ally, Robert Mugabe, who absolutely refused to stand down." This brought matters back to square one, leaving the security chiefs and the electoral commission in disarray. Constantine Chiwenga, head of the armed forces, together with Mugabe's cousin, Perence Shiri, are said to have wanted the army to take power itself. They were faced down by others, including Philip Sibanda, the head of the army, and Augustine Chihuri, the police commissioner.

Chris Mbanga, Tsvangirai's chief of staff, said he had also heard of the coup plot. "But the fact is they couldn't have got far," he said. "We have our own people in there at every level and they would have resisted. The police and the army want change too, you know." Meanwhile, the drama had shifted to the commission's command centre where Mbanga sat monitoring the parliamentary and presidential results for the MDC as they came through. With the electoral register absurdly out of date and so many having fled or died, the voting totals were often very small.

Mbanga suddenly began to notice some considerable anomalies. In general, in every constituency Tsvangirai was running well ahead of the score achieved by the MDC parliamentary candidate - but he noticed that in Budiriro the MDC candidate had won more than 15,000 votes and Tsvangirai only 12,000. Then he noticed that at Mount Darwin West in Mashonaland North, Vice-President Joyce Mujuru had won 6,071 votes according to the tallies posted up outside the polling stations there, but the commission had given her 13,270. Similarly, at Shamva North in Mashonaland West, the cabinet minister Nicholas Goche had won 4,195 votes, according to the polling station tallies, but the commission credited him with 10,385. "Once I saw this and some more very fishy figures indeed coming in for Mashonaland Central, I just said, okay, I'm not signing for anything more," he explained.

Instead, Mbanga insisted on an audit of every single seat, with all the original tally papers from all the polling stations brought in so they could be compared. Thus, while Mugabe has been widely blamed for not declaring the results more quickly, it is the opposition that has made counting such a slow process in its determination to prevent cheating. By Monday the police and army were everywhere on the streets and a few independent websites were showing the MDC running well ahead of Zanu-PF in both the parliamentary elections and the presidential poll.

Most people were dependent on state television which leaked out the parliamentary results at a snail's pace, always leaving Zanu-PF one ahead of MDC. Of the presidential results there was no word. Ordinary Zimbabweans had no idea of the drama being played out. So terrible has been the toll of the Mugabe years that the struggle just to stay alive preoccupies those who are left - so many have died and at least a third of the population has fled the country. Among those who remain, 80% are unemployed and most go hungry. Every morning begins in the towns with huge queues outside banks and building societies, for nobody may withdraw more than Z$500m a day - about £6. Harare is the only city where you can see large-denomination banknotes scattered on the pavement.

So rapid has inflation become that all notes bear an expiry date after which they are invalid and the central bank adds another nought or two to the next set of notes. People just tear up invalid notes and throw them away.

When you speak to people in the queues you realise how beaten down they are. "I have three children, all hungry. I've sold everything in the house except a table and our beds," said Margaret Zimondi, a secretary. "We're just waiting to hear that Mugabe rigged the elections again, as usual," said Learnmore Maposa, a carpenter. "Things are much worse in the countryside," he added. "I went to see my mother in her village last weekend. They can't cook on oil stoves any more because the price of diesel is too high, so they have to cook with electricity. Often there is none, so they just go to bed hungry night after night. My mother can't weigh more than 35kg [77lb] now. In our village so many have died already. I am frightened for her."

When the parliamentary results finally came out, the state media tried to depict the situation as a tie when the opposition had clearly won. The MDC had 99 seats, Zanu-PF 96. The MDC splinter party led by Arthur Mutambara had 11 and there was one (pro-Tsvangirai) independent. Three candidates had died before election day, but all in almost certain MDC seats so the combined opposition has 111 out of 217 seats today and will end up with 114 out of 220.

This result alone would make it difficult for a Zanu-PF president to govern. The party promptly accused the MDC of bribing officials in 16 constituencies and demanded that the results be overturned. As the week progressed the tension grew but observers sensed on every hand the resistance of the Zanu-PF state, facing a situation it had never dreamt of. Mugabe called a meeting of the Zanu-PF high command and, as usual, imposed his will. There would be a runoff and he would run, and meanwhile the opposition and foreign journalists would be put in their place. Armed police duly raided MDC offices and hotels housing foreign journalists.

Ahead lies a bruising second round. It is quite possible that Mugabe will break the constitution and insist on a three-month gap before a second round, using that period to try to smash the MDC and terrify the electorate into voting him back in. But the odds are against him now.

£1bn aid plan

A vigorous aid programme to rebuild Zimbabwe's economy, society and agriculture would quickly follow an opposition victory, with Britain in a prominent role, writes David Watts. With £1 billion to be spent, the International Monetary Fund would take the lead in stabilising the currency - inflation is forecast to hit 500,000% by May. The plan would also involve the World Bank, UN and EU. Britain is already putting £45m into the country over the next two years to help HIV/Aids victims and to provide food, shelter and education. More could be made available to help to resettle refugees - there are 800,000 in South Africa alone.

44542150991a0ddc16d94bcin8.jpg
 
[media]http://www.zimdaily.com/images/cartoon040408.gif[/media]
 
Back
Top Bottom