Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

Mimi nimeweka mafuta leo kwenye mkweche wangu.

Msiwaletee watu hofu isiyokuwepo, yule shetani mungu wenu ameshakufa na yupo kuzima, hawezi kurudi, kubalini matokeo tu.

View attachment 2012125
Sio hofu tafadhali ukosefu wa mafuta vituoni sio Siri mwenye haambiwi tazama

Umtie hofu Nani wakati ukienda vituo vya mafuta uswahini Dar hawana mafuta

Kukosekana mafuta vitioni vya uswahilini sio Siri tafadhali na sababu unapewa
 
Tanzania inchi pekeee ina ongoza kwa Drama na hasa wanatoka ccm
 
Sio hofu tafadhali ukosefu wa mafuta vituoni sio Siri mwenye haambiwi tazama

Umtie hofu Nani wakati ukienda vituo vya mafuta uswahini Dar hawana mafuta

Kukosekana mafuta vitioni vya uswahilini sio Siri tafadhali na sababu unapewa
Hao watakuwa ni wapiga dili tu.
 
Waziri hapaswi kudanganya!
Mbona kuna Mwingine aliwatangazia Watanzania kuwa Mtu fulani hajafa, yupo hai na katoka Kuzungumza nae na kututaka tuendelee Kuchapa Kazi wakati kumbe muda mrefu alikuwa tayari ameshayaanza Maisha yake mapya katika Friji za Mzena Hospital kabla ya kuhamishiwa za Lugalo Hospital mkabala na Chuo chao cha Tiba cha MCMS?
 
Acha ubaguzi wew ukanda wa pwani unahusikaje hapo acha longo longoπŸ˜…πŸ˜…
 
Ni aina hii ya michango na uongo wa kitoto ndio kidogo imletee shida mkrugenzi wa TPDC.

Alichoelezea mkurugenzi ata kwa kusoma nakala ya gazeti la Nipashe na tafsiri ya jamii ni vitu viwili tofauti.

Waziri pamoja na yeye kuingia mkenge kupitia michango potofu kwenye kujitetea alitoa maelezo ya kutosha kuhusu usalama wa inventory za mafuta kwa sasa na siku zijazo.

Utoto mwingi sana nchi hii tunahitaji kichaa mwingine wa kuondoa fikra za ovyo.

Raisi nae eti anazungumza anafungua nchi kibiashara ni lini ilifungwa kwa data zipi, yote hayo upuuzi wanasiasa wanao okota mitandaoni.

Na ndio mambo haya haya Rugemalila kakaa jela miaka minne.
 
Kuna wakati tulikuwa tunajivuna tuna pesa za miezi 6 .... .... naona vimburu vimeingia kazini. Aibu!
 
TPDC si wamesema wataagiza wenyewe?au wamegomewa huko wanakotakiwa kununua?
 
Ngoja tuone kama upo sawa maana na Sisi wenye masheli yetu tunataka mmalizie stock yetu chap chap kabla hakujabadilika.

Tutafanya lolote hii stock itoke tusiingie hasara.
 
Nchi fix sana hii....nikikumbuka kuna mwamba ashawahi kukaa masjid na kutufix kuwa jamaa ake bado yuko hai.....
 
Huyu Suzy Elias amekuja RASMI kupambana na Januari Makamba na siyo kutoa michango chanya kwenye JUKWAA. Maana akaunti yake Haina hata one month, yeye na Makamba, umeme, gas na Leo mafuta.

Nahesabu one week kuanzia Leo, kweli tikikosa mafuta Nita " left" JF voluntarily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…