Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Mnao ungalnisha swala hili na mapenzi mpaka sasa mmesha jiuliza swali hili la msingi?

1. Ukamatwe na polisi wa kibongo
2. Ushikiliwe kwa angalau siku tatu au zaidi
3. Uhojiwe(napo sema uhojiwe namaanisha Yale mahojiano yanayo ambatana na kipondo)

Halafu. Mpaka sasa uwe hujawapeleka mlipo ficha kichwa?

Au kilienda na maji?
Walikiweka kwenye mashine na kukisagasaga?

KWanini mpaka sasa hakuna update za kichwa Kiko wapi ikiwa walioshikiliwa ndio wahusika?
NB MASWALI HAYA HAYAMAANISHI KUWA WALIO KAMATWA SIO WAHUSKIA
 
Ngoja Erythrocyte aje akuhakikishie
- KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Watujua vizuri sana, ndio maana kunakuwa na uzito sana hata kuita wachunguzi kutoka nje wa matukio kama MO29, wale wakija itakuwa balaa.
Sio wanatujua vizuri...hata haya matukio ya sisi kwa sisi kutekana na kusema wasiojulikana...pale Embassy zao Wana mashushu wanajua ni nani anafanya hii michezo...

Katekwa Ally Kibao...watu wakashauri tulete Scotland Yard...
Wangekuja hao ni wiki moja tuu....Wana satellite surveillance systems huko juu...yaani lile bus..na gari lililotumika...
Pale Tegeta wangekaa nusu saa tuu...wangechora map nzima na waliofanya tukio Hawa hapa...na ingeleta aibu ...kwa Jamuhuri yetu..

Ila siku moja...akili yangu inaniambia Kuna utekaji utakosa plan na itakuwa aibu ya mwaka kwa wenye mfumo wa kuteka...na Kila kitu kitakuwa wazi
 
Ni kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom