Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

Nuzulati Scott junior magnifico Jerusalem2006 Aizat

Tulipoingia kwenye kikao, wakasema wale wote mliowakamata hawajui lolote katika tukio la kulipua Ubalozi. Wakatuuliza tunaweza kupata askari anayelifahamu vizuri Jiji la Dar es Salaam? Tukawaambia ndiyo. Wakasema mleteni. Akaletwa (jina linahifadhiwa) kutoka makao makuu. Wakamuuliza unafahamu eneo linaloitwa Kimara? Akasema ndiyo. Wakasema tupeleke.....

Inaendelea......

“Aliwapeleka hadi Kimara. Wakamuuliza unaifahamu gereji ya (jina linahifadhiwa), akasema ndiyo. Wakamwambia tuonyeshe. Aakawapeleka hadi gereji. Pale gereji wakasema fundi anayeitwa (jina linahifadhiwa) yuko wapi? Akaitwa huyo fundi akaja. Wakajitambulisha kwake na kumweleza kuwa wao ni FBI kutoka Marekani na wanafuatilia ulipuaji wa Ubalozi wa Marekani. Wakamsihi asiwe na wasiwasi hawatamkamata, bali awape ushirikiano na taarifa watakazomwomba, ikiwa anazo.

“Wakamuuliza. Wiki mbili zilizopita ulitengeneza boksi la chuma hapa gereji? Akasema ndiyo. Wakamuuliza huyo mteja mlikuwa mnafahamiana? Akasema hapana, ila alikuja hapa alikuwa na kanzu nyeupe na ndefu nyingi, akanielekeza nimtengenezee boksi la aina hiyo.

Wakamuliza kama anajua anapoishi huyo mtu, akasema hajui. Wakamwambia alipigiwa simu na huyo mtu siku… baada ya hapo huyo fundi gereji waliongozana naye kwenda maeneo ya Ilala na kwingine ambapo walikamatwa watu wawili waliosaidia Ahmed Khalfan Ghailani kukamatwa nchini Pakistan na akawataja wenzake. Watu 14 dunia nzima walikamatwa na kuwekwa katika Gereza la Guantanamo Bay, Marekani.
Duh kweli wenzetu wanajua kutrace
 
Mkuu acha tu ,"USIOMBEE KUKUTWA NA BWANA PEPSI" ,kugongewa kunauma sana ,just imagine umamfungulia Mke/Mpenzi biashara ,unampa huduma zote halafu unasikia na kuconfirm kwamba kuna jamaa anamega kisela....Kwa akili za watu above 40 wanaweza kuwa na busara ila hawa below 35 aisee kwenye hiyo sector wana maamuzi mabaya sana.
Solution mbona ni simple chukua vitu vyako muache akahangaike na msela wake..😂
 
Huyu jamaa yetu anamlinda kweli mtu wa maaabara tangu mwanzo wa Uzi anamtetea TU. wakati sinario kama ikiwa kama ilivoletwa hapa huyo jamaa wa Boma hachomoki
BM kumbuka Kesi ya Zombe ,Mke wa Msuya na Ya Mjeda Nyundo.

Hizo Kesi Main Characters - Walioandaa Mchongo na kuwatuma watu - Wote hawajakutwa na hatia wamechomoka.

Zombe -Alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa DSM(ACP) - Aliandaa mchongo na kuwatuma maaskari wakapore pesa na madini ya wafanyabiashara wa morogoro ,wakawateka Sinza na kwenda kuwapiga risasi katika msitu wa Pande ,yeye kama yeye alichomoka ila waliotekeleza ndiyo walikutwa na hatia ,zombe yupo huru ila waliotekeleza wamehukumiwa kunyongwa.

Mke wa Msuya - Nadhani hii unaijua vizuri jinsi mke wa msuya alivyochora raketi na kuwakodisha wakora wakaja kumuua Aneth Msuya Kibada Kigamboni ,now Mke wa Msuya yupo Huru ametoka.

Afande Nyundo(JEI WII) - Huyo alikodishwa na Mama kwenda Kumfanyiazia ukatili Mchepuko wa Mumewe ,Mama katika hiyo kesi hajashitakiwa sehemu yeyote ingawa yeye ndiyo aliwatuma hao vijana.

Simtetei Ofisa Maabara ila Mambo ya sheria kuna loopholes nyingi sana za kujinasua katika issue kama hizo ,ndiyo maana Kamanda muliro wapo kukusanya vielelezo ili viweze kuwatia hatiani wahalifu kwa ushahidi usio kuwa na shaka ambao ni wa DNA tu.
 
Hivi Mimi nikimtuma mtu aje akuue wewe ijapo mi sijakushika Kwa mikono yangu kukuua bali hao watu nlowatuma na ikathibikitika kuwa kweli nimewatuma Kwa hiyo sitofungwa sio?
 
Kwa Ushahidi gani wa kukutia wewe kwenye HATIA pasipo kuwa na SHAKA? Je unawatuma kwa njia gani? Whatsapp meseji 24 ambazo zina disappear? Normal meseji? (Kuna mtu kweli akaandika meseji ya ushahidi kama nakutuma ukamuue flani kwenye normal meseji au kwa kupiga simu?)

Kwenye record wataiona namba yako uliwapigia wauaji ,je kila mtu aliyempigia muuaji ndiyo aliyemtuma? Tanzania najua wana LIG labda hiyo ndiyo inaweza ikatatua muarobaini.

LIG - ni Server inayohifadhi mazungumzo ya simu ambazo zinazopigwa kikawaida kwenye mitandao ya simu.
 
Yes kaka upo sahihi

Huenda afisa maabara aliwaambia kabisa wakina " mputo " na "Tambali " mkisha maliza kazi nileteeni kichwa chake nikione.

Kichwa kimekatwa ili kuficha utambuzi wa maiti endapo itaonekana kwa mara ya kwanza kwa sababu mwili utakuwa hauna sura...

Hivyo hii ni premeditated homicide...
 
Nuzulati Scott junior magnifico Jerusalem2006 Aizat

Tulipoingia kwenye kikao, wakasema wale wote mliowakamata hawajui lolote katika tukio la kulipua Ubalozi. Wakatuuliza tunaweza kupata askari anayelifahamu vizuri Jiji la Dar es Salaam? Tukawaambia ndiyo. Wakasema mleteni. Akaletwa (jina linahifadhiwa) kutoka makao makuu. Wakamuuliza unafahamu eneo linaloitwa Kimara? Akasema ndiyo. Wakasema tupeleke.....

Inaendelea......

“Aliwapeleka hadi Kimara. Wakamuuliza unaifahamu gereji ya (jina linahifadhiwa), akasema ndiyo. Wakamwambia tuonyeshe. Aakawapeleka hadi gereji. Pale gereji wakasema fundi anayeitwa (jina linahifadhiwa) yuko wapi? Akaitwa huyo fundi akaja. Wakajitambulisha kwake na kumweleza kuwa wao ni FBI kutoka Marekani na wanafuatilia ulipuaji wa Ubalozi wa Marekani. Wakamsihi asiwe na wasiwasi hawatamkamata, bali awape ushirikiano na taarifa watakazomwomba, ikiwa anazo.

“Wakamuuliza. Wiki mbili zilizopita ulitengeneza boksi la chuma hapa gereji? Akasema ndiyo. Wakamuuliza huyo mteja mlikuwa mnafahamiana? Akasema hapana, ila alikuja hapa alikuwa na kanzu nyeupe na ndefu nyingi, akanielekeza nimtengenezee boksi la aina hiyo.

Wakamuliza kama anajua anapoishi huyo mtu, akasema hajui. Wakamwambia alipigiwa simu na huyo mtu siku… baada ya hapo huyo fundi gereji waliongozana naye kwenda maeneo ya Ilala na kwingine ambapo walikamatwa watu wawili waliosaidia Ahmed Khalfan Ghailani kukamatwa nchini Pakistan na akawataja wenzake. Watu 14 dunia nzima walikamatwa na kuwekwa katika Gereza la Guantanamo Bay, Marekani.
Wenyewe huyo fundi walimjuaje kuwa ndio anawezakuwa chanzo chao...?
 
BM kumbuka Kesi ya Zombe ,Mke wa Msuya na Ya Mjeda Nyundo.

Hizo Kesi Main Characters - Walioandaa Mchongo na kuwatuma watu - Wote hawajakutwa na hatia wamechomoka.

Zombe -Alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa DSM(ACP) - Aliandaa mchongo na kuwatuma maaskari wakapore pesa na madini ya wafanyabiashara wa morogoro ,wakawateka Sinza na kwenda kuwapiga risasi katika msitu wa Pande ,yeye kama yeye alichomoka ila waliotekeleza ndiyo walikutwa na hatia ,zombe yupo huru ila waliotekeleza wamehukumiwa kunyongwa.

Mke wa Msuya - Nadhani hii unaijua vizuri jinsi mke wa msuya alivyochora raketi na kuwakodisha wakora wakaja kumuua Aneth Msuya Kibada Kigamboni ,now Mke wa Msuya yupo Huru ametoka.

Afande Nyundo(JEI WII) - Huyo alikodishwa na Mama kwenda Kumfanyiazia ukatili Mchepuko wa Mumewe ,Mama katika hiyo kesi hajashitakiwa sehemu yeyote ingawa yeye ndiyo aliwatuma hao vijana.

Simtetei Ofisa Maabara ila Mambo ya sheria kuna loopholes nyingi sana za kujinasua katika issue kama hizo ,ndiyo maana Kamanda muliro wapo kukusanya vielelezo ili viweze kuwatia hatiani wahalifu kwa ushahidi usio kuwa na shaka ambao ni wa DNA tu.
Bushmamy issue ni jinsi watakavyo andaa mashitaka. Kama kesi ya kuua ni tofauti na kesi yakuhusika katika mauaji. Akina Zombe waliponyoka kwa vile ilikuwa ni kesi ya kuua.
 
Back
Top Bottom